Faiza Awachanganya Mashabiki Hukuhu Kifo
MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.
![Faiza Ally](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/01/faiza45.jpg)
Faiza Ally
Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.
“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.
Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii huyo kwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Faiza awachanganya mashabiki wake
NA MWANDISHI WETU
MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.
Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.
“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.
Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii...
9 years ago
Bongo504 Jan
Faiza ajizushia kifo, aeleza kwanini alifanya hivyo
![Faiza Ally](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Faiza-Ally-300x194.jpg)
Faiza Ally hufanya kile akili yake inamtuma na ndio maana hivi karibuni alijizushia kifo chake mwenyewe na kusababisha tafrani kubwa.
Faiza Ally akiwa mwenye machozi
Kipitia ukurasa wake wa Facebook, aliandika: Faiza Ally kafa akiwa anatoka location
Akizungumzia sababu ya kuandika ujumbe huo, Faiza ameiambia Bongo5 kuwa alifanya hivyo baada ya kukasirishwa na madirector wa filamu yake mpya ambao wamekuwa wakimsumbua.
“Niliamua tu kuandika kuwa nimekufa,” amesema. “Hawa director wangu wa...
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
11 years ago
Mwananchi23 Mar
JK awachanganya wananchi
11 years ago
Habarileo20 Mar
Warioba awachanganya wabunge
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua mambo mengi ambayo hawakuwa wanayafahamu.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
JK awachanganya waliojitokeza kwenye urais
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Lembeli awachanganya viongozi wa CCMÂ
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Vijimbambo: Pacha Wa Dude Awachanganya Wengi!!
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu Kulwa Kikumba ‘Dude’ usiku wa jana alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni akiwa na mwanamama aliemtambulisha kama pacha wake.
“Huyu ndiye pacha wangu...”-Dude aliandika chini ya picha hiyo na hapo ndipo mashabiki wakaanza kujiongeza.
Wapo waliosema inawezekana kweli huyu akawa ndio DOTO wake kwani Dude yeye ni KULWA, wengine walijitokeza ka kupinga hoja hii kwa kusema mbona hawafanani ha taka kwa muonekano wanaonekana kutofautiana sana ki umri, kwani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64pRG3c0l6XbKkZ6Bw7DATMpE*c3FpLkF-h9MlYIXZbGxqjuRbZGxI3vPOczhcuJfuDaXwVJpVmBzQFepUYur1*U/dimpoz.jpg)
DIMPOZ AWACHANGANYA JOKATE, VENESSA MDEE!