Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba awachanganya wabunge

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua mambo mengi ambayo hawakuwa wanayafahamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wazidi kumwandama Warioba

>Wabunge wa CCM wameendelea kuirarua Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa bungeni na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

11 years ago

Mwananchi

JK awachanganya wananchi

 Wananchi mbalimbali wa mikoani na Zanzibar wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wamepokea kwa hisia tofauti hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, huku wengi wakipongeza na wengine wakimlaumu kwa kuweka msimamo wake juu ya muundo wa Serikali.

 

9 years ago

Mtanzania

Faiza awachanganya mashabiki wake

faizaNA MWANDISHI WETU

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.

Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.

“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.

Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii...

 

10 years ago

Mwananchi

JK awachanganya waliojitokeza kwenye urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete alisema kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu bado hajajitokeza mpaka sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli awachanganya viongozi wa CCM 

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...

 

10 years ago

GPL

DIMPOZ AWACHANGANYA JOKATE, VENESSA MDEE!

Stori: Gladness Mallya Acha kabisa! Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo ni madai ya Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwachanganya kimalovee, mastaa wenzake, Jokate Mwengelo ‘Kidoti’ na Vanessa Mdee ‘Van V’ au V-Money, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akipozi kimahaba na Vanessa Mdee, 'V-Money'. ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Faiza Awachanganya Mashabiki Hukuhu Kifo

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.

Faiza Ally

Faiza Ally

Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.

“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.

Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii huyo kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimbambo: Pacha Wa Dude Awachanganya Wengi!!

Mwigizaji na mwongozaji wa filamu  Kulwa Kikumba ‘Dude’ usiku wa jana alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni akiwa na mwanamama aliemtambulisha kama pacha wake.

“Huyu ndiye pacha wangu...”-Dude aliandika chini ya picha hiyo na hapo ndipo mashabiki wakaanza kujiongeza.

Wapo waliosema inawezekana kweli huyu akawa ndio DOTO wake kwani Dude yeye ni KULWA, wengine walijitokeza ka kupinga hoja hii kwa kusema mbona hawafanani ha taka kwa muonekano wanaonekana kutofautiana sana ki umri, kwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani