Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awachanganya waliojitokeza kwenye urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete alisema kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu bado hajajitokeza mpaka sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kingunge: Waliojitokeza kuwania urais CCM hawana sifa

Harakati za kuwania urais ndani ya CCM zimeingia katika hatua mpya baada ya mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale - Mwiru kuibuka na kudai kuwa wote waliojitokeza kuwania nafasi hiyo hawana sifa kwa kuwa wanatumia fedha kutaka kuingia Ikulu.

 

9 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Hawa Ndiyo Wasanii Mbalimbali Waliojitokeza Viwanja vya Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

Credit:MillardAyo.Com

 

11 years ago

Mwananchi

JK awachanganya wananchi

 Wananchi mbalimbali wa mikoani na Zanzibar wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wamepokea kwa hisia tofauti hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, huku wengi wakipongeza na wengine wakimlaumu kwa kuweka msimamo wake juu ya muundo wa Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Warioba awachanganya wabunge

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua mambo mengi ambayo hawakuwa wanayafahamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli awachanganya viongozi wa CCM 

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Faiza awachanganya mashabiki wake

faizaNA MWANDISHI WETU

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.

Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.

“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.

Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania kiduchu waliojitokeza harambee ya CSI Ubalozi wa Tanzania Washington DC jumla ya $2,696 zapatikana

Ivan Matovu akisherehesha harambee ya Childbirth Survival International iliyofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015 katika chumba cha mkutano cha Nyerere ndani ya jengo la Ubalozi huo na jumla ya $2,696 zilikusanywa siku hiyo kwa ajili ya kusaidia kuokoa maisha ya wazazi wanaotarajia kujifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Biharamuro. CSI walishawahi toa msaada wa namna hiyo hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar na...

 

9 years ago

Vijimambo

WATANZANIA KUDUCHU WALIOJITOKEZA HARAMBEE YA CSI UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC JUMLA YA $2,696 ZAPATIKANA

 Ivan Matovu akisherehesha harambee ya Childbirth Survival International iliyofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015 katika chumba cha mkutano cha Nyerere ndani ya jengo la Ubalozi huo na jumla ya $2,696 zilikusanywa siku hiyo kwa ajili ya kusaidia kuokoa maisha ya wazazi wanaotarajia kujifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Biharamuro. CSI walishawahi toa msaada wa namna hiyo hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo: Pacha Wa Dude Awachanganya Wengi!!

Mwigizaji na mwongozaji wa filamu  Kulwa Kikumba ‘Dude’ usiku wa jana alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni akiwa na mwanamama aliemtambulisha kama pacha wake.

“Huyu ndiye pacha wangu...”-Dude aliandika chini ya picha hiyo na hapo ndipo mashabiki wakaanza kujiongeza.

Wapo waliosema inawezekana kweli huyu akawa ndio DOTO wake kwani Dude yeye ni KULWA, wengine walijitokeza ka kupinga hoja hii kwa kusema mbona hawafanani ha taka kwa muonekano wanaonekana kutofautiana sana ki umri, kwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani