Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijimambo: Pacha Wa Dude Awachanganya Wengi!!

Mwigizaji na mwongozaji wa filamu  Kulwa Kikumba ‘Dude’ usiku wa jana alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni akiwa na mwanamama aliemtambulisha kama pacha wake.

“Huyu ndiye pacha wangu...”-Dude aliandika chini ya picha hiyo na hapo ndipo mashabiki wakaanza kujiongeza.

Wapo waliosema inawezekana kweli huyu akawa ndio DOTO wake kwani Dude yeye ni KULWA, wengine walijitokeza ka kupinga hoja hii kwa kusema mbona hawafanani ha taka kwa muonekano wanaonekana kutofautiana sana ki umri, kwani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Vijimbambo: Pacha Wa Dude Awachanganya Wengi!!

Mwigizaji na mwongozaji wa filamu  Kulwa Kikumba ‘Dude’ usiku wa jana alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni akiwa na mwanamama aliemtambulisha kama pacha wake.

“Huyu ndiye pacha wangu...”-Dude aliandika chini ya picha hiyo na hapo ndipo mashabiki wakaanza kujiongeza.

Wapo waliosema inawezekana kweli huyu akawa ndio DOTO wake kwani Dude yeye ni KULWA, wengine walijitokeza ka kupinga hoja hii kwa kusema mbona hawafanani ha taka kwa muonekano wanaonekana kutofautiana sana ki umri, kwani...

 

10 years ago

Bongo Movies

DUDE:Mastaa Wengi Wana Ngoma

Mwigizaji na muongozaji wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana ngoma na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.

Akizungumza na GPL,  Dude alisema kuwa mastaa wazima ni wa kuhesabika na kutaja sababu kubwa kuwa ni kubadilishana na kuibiana wapenzi bila kuwa na woga .

“Utakuta Mbongo Fleva ana mtu kwenye Bongo Muvi na Mbongo Muvi ana mtu kwenye dansi au kwa mamis au hata wacheza mpira, ukitaka kuujua ukweli tangaza dau...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WENGI WANA NGOMA - DUDE

Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Na Hamida Hassan Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana ngoma na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.
Akizungumza na Ijumaa,  Dude alisema kuwa mastaa wazima ni wa kuhesabika na kutaja sababu kubwa kuwa ni kubadilishana na kuibiana wapenzi bila kuwa na woga ....

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: JB na Zembwela washangaza wengi“Kwakupakia”

Ni kweli mwili haujengwi kwa matofali lakini hii ya JB na Zembwela  Mh!!!.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, JB aliweka picha hiyo ya kwanza, akiwa na Zembwela wakiwa wanaanza kula, na badaye kuweka hiyo ya pili wakiwa wamesha maliza kula.

Picha zote hizi zilifanya watu wengi wafunguke kwa kuachia –comment zakutosha zenye mitazamo tofauti.

Wapo watu wamechukilia kuwa ni kamwaida lakini wapo walioichukulia kuwa hii  ni zaidi  kula, kwani huo msosi ungeweza kuliwa na watu zaidi ya hata...

 

11 years ago

Mwananchi

JK awachanganya wananchi

 Wananchi mbalimbali wa mikoani na Zanzibar wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wamepokea kwa hisia tofauti hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, huku wengi wakipongeza na wengine wakimlaumu kwa kuweka msimamo wake juu ya muundo wa Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Warioba awachanganya wabunge

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua mambo mengi ambayo hawakuwa wanayafahamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli awachanganya viongozi wa CCM 

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...

 

10 years ago

Mwananchi

JK awachanganya waliojitokeza kwenye urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete alisema kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu bado hajajitokeza mpaka sasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Faiza awachanganya mashabiki wake

faizaNA MWANDISHI WETU

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki.

Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo.

“Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua kama ni mzima, ila niliamua kufanya hivyo,” aliandika Faiza.

Hata hivyo, mashabiki wamemtupia lawama msanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani