Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAIZA BADO ANADUNDA NA MWANAYE

 Faiza Ally akiwa na mwanaye. Mrembo ambaye hivi karibuni jina lake limezidi kukua, Faiza Ally aliyezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ bado anadunda na mwanaye tofauti na watu wanavyofikiri kuwa Sugu kamchukua. Kwa mujibu wa chanzo chetu, tangu mahakama iamuru kuwa mtoto achukuliwe na baba yake, haikuwa hivyo kwani Sugu alitaka mzazi mwenzie huyo ajifunze kuvaa vizuri.  ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FAIZA AMBANIA SUGU ‘BETHIDEI’ YA MWANAYE

Imelda Mtema Msanii ambaye ni mpenzi wa zamani wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally juzikati alimfanyia mwanaye Sasha pati katika siku yake ya kuzaliwa lakini cha ajabu hakumualika mzazi mwezake huyo. Msanii ambaye ni mpenzi wa zamani wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally akiwa na mwanaye. Pati hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa Faiza, Mkwajuni jijini...

 

9 years ago

Bongo Movies

Baada ya Yote, Faiza Kathibitisha Bado Anampenda ‘Sugu’

Aliyekuwa mpenzi  wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake  lakini bado anampenda na kumthamini.

Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika

“Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae  na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – oh yes...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto!!!

Mwigizaji wa filamu alietoa kali ya  mwaka jana kwa kuvaa  Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka  na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.

“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika

Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye...

 

9 years ago

Bongo5

Faiza akiri kuwa bado anampenda baba wa mtoto wake Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi

Mama wa mtoto wa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph “Sugu” Mbilinyi , Faiza Ally amekiri kuwa bado anampenda baba wa mwanaye licha ya kuwa hawana uhusiano tena. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Faiza amepost picha ya Sugu akiwa amebeba mtoto na kushare hisia zake juu ya mzazi mwenzake, post ambayo aliifuta muda mfupi baadaye. Hiki […]

 

10 years ago

Bongo5

Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu ameachana na aliyekuwa mchumbake Faiza Ally. Wawili hao wana mtoto wa kike. Faiza amethibitisha kuachana na Sugu kwenye Instagram kwa kushare pia ya pamoja. “Mtoto wangu wa Faiza na Joseph ana fikisha miaka 2 kesho , nimeangalia kumbu kumbu zangu na baba yake toka mimba yake mpaka […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka

AUNT1

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii  wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.

Kwa  taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...

 

10 years ago

Michuzi

uzi wa wenzetu, sie bado bado kwanza...

 Uganda  Kenya Burundi Rwanda

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo kamili, Phiri bado bado

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amejigamba kuwa kikosi chake kipo tayari kila idara kwa Ligi Kuu Bara, lakini mwenzake Patrick Phiri wa Simba ana kazi ya kuimarisha ubora katika safu yake ya ulinzi.

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMKATISHA USINGIZI FAIZA

Imelda mtema FAIZA Ally ambaye ni mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefunguka kuwa mwanaye Sasha ndiyo kila kitu kiasi cha kumkatisha usingizi wake kila siku. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, alisema kutokana na mapenzi yake kwa mwanaye, kila siku anajikuta akiamka usiku mnene na kumuangalia mwanaye kwa muda mrefu kisha kumbusu na kulala tena. “Huwa naamka usiku wa manane na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani