Familia ya Nyerere yaporwa kiwanja
FAMILIA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imeporwa kiwanja ilichokuwa inamiliki na anayedaiwa kuwa mporaji ameanza ujenzi ambao unafanyika chini ya usimamizi wa walinzi wa miraba minne. Mtoa habari kutoka familia hiyo (jina limehifadhiwa), amesema kiwanja kilichoporwa kiko Msasani Beach karibu na makazi ya mjane wa Mwalimu, Mama Maria na ni namba 778.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Feb
Serikali yaingilia kati uporaji kiwanja familia ya Nyerere
SIKU moja baada ya gazeti hili kutoa taarifa za uporaji wa kiwanja cha familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Serikali imeingilia kati na kuzuia ujenzi katika kiwanja hicho, uliokuwa ukiendelea kwa mabavu.
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.
11 years ago
Habarileo17 Mar
Mvamizi kiwanja cha Nyerere ampuuza DC
NI wazi sasa kuwa mvamizi katika kiwanja cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ana kiburi na jeuri kwa kuwa ameamuru ujenzi kuendelea kinyume cha agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana. Rugimbana aliliambia gazeti hili kuwa ameshazuia ujenzi kuendelea katika kiwanja hicho, ili kupisha mazungumzo kati ya warithi ambao ni familia ya Mwalimu Nyerere na mfanyabiashara anayedai kununua eneo hilo.
11 years ago
Habarileo18 Feb
Kiwanja cha Nyerere chapigwa ‘danadana’
FAMILIA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imeendelea kupigwa chenga na viongozi wa Wilaya ya Kinondoni, walikokwenda mara kadhaa kufuatilia haki ya kiwanja walichoachiwa na baba yao.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Familia ya Nyerere yaenda Qunu kumzika Mandela
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Familia ya Leticia Nyerere kutoa tamko Ijumaa
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia Nyerere, imesema baada ya kukamilisha majadiliano inatarajia kutoa tamko la kifamilia Januari mosi.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam, msemaji wa familia ya Msobi Mageni, John Shibuda, alisema kwa sasa haina cha kuzungumza na kwamba baada ya kukaa ndipo itakuwa na neno la kusema.
Alisema mgonjwa bado yupo hospitali na kwamba familia ndiyo...
10 years ago
MichuziKiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chatakiwa kuimarishwa kiushindani
Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu za abiria kupandia na kushuka kwenye ndege, ofisi za uhamiaji na huduma zingine muhimu.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Suleiman S. Suleiman...
10 years ago
VijimamboTAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Rais Kikwete atoka wodini, familia ya Nyerere yatuma salamu