Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia ya soka yampoteza gwiji Eusebio

Gwiji wa soka kutoka taifa la Ureno,Eusebio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Magwiji wa soka wamlilia Eusebio

Magwiji mbalimbali wa soka wameongoza kutoa rambirambi kwa kifo cha nyota wa zamani wa Ureno, Eusebio aliyefariki akiwa na miaka 71.

 

10 years ago

Dewji Blog

Gwiji la soka la timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona awasili ncjhini na kuelekea Serengeti

E86A4211

 

Mratibu wa ziara ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona nchini ,Royco Garcia ,(kulia) akiwa na mdau wa soka wa mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya Hai,Harold Kifunda wakati wa mapokezi ya gwiji wa soka wa timu ya taifa ya Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona.

Dixon Busagaga wa Busagaga’s Orijino Blog akizungumza jambo na mratibu wa ziara ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona nchini ,Royco Garcia ,uwanja wa ndege wa Kimatifa wa Kilimanjaro ...

 

11 years ago

CloudsFM

TGNP MTANDAO YAMPOTEZA MWANACHAMA MWANZILISHI NA MWENYEKITI WA KWANZA

TGNP Mtandao tumepata pigo kubwa kwa kumpoteza mwanaharakati na Mwenyekiti wa kwanza wa shirika, aliyefariki Juni 2, 2014 Ubungo Msewe Dar es Salaam. Fides Chale alikuwa ni mwalimu na kiongozi aliyegusa maisha ya wengi hapa Tanzania, Mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake, wasichana na makundi mengine yaliyoko pembezoni.

Dada Fides amekuwa mtu wa watu, mcheshi, mwenye upendo, utu, huruma, mpole, mwenye sura ya kutabasamu muda wote hata alipokuwa kwenye hali ya ugonjwa.

Tunapoombeleza...

 

11 years ago

GPL

MWANASOKA EUSEBIO AFARIKI DUNIA

Eusebio Ferreira akiichezea timu yake ya Benfica katika Fainali za Kombe la Ulaya dhidi ya AC Milan  kwenye Uwanja wa Wembley, London. Eusebio akibusu kiatu cha dhahabu baada ya kuibuka mfungaji bora wa Ulaya jijini Paris. Mwanasoka wa zamani wa Ureno, Eusebio da Silva Ferreira, amefariki dunia akiwa na miaka 71 baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo. Alizaliwa nchini Msumbiji kabla ya kuhamia Lisbon, Ureno… ...

 

11 years ago

BBC

Portugal legend Eusebio to be buried

The funeral of Mozambican-born footballer Eusebio is to take place in the Portuguese capital Lisbon, after his death at 71.

 

11 years ago

GPL

TGNP MTANDAO YAMPOTEZA MWANACHAMA MWANZILISHI NA MWENYEKITI WA KWANZA‏

Marehemu Dada, Fides Chale (1940 - 2014). TGNP Mtandao tumepata pigo kubwa kwa kumpoteza mwanaharakati na Mwenyekiti wa kwanza wa shirika, aliyefariki Juni 2, 2014 Ubungo Msewe Dar es Salaam. Fides Chale alikuwa ni mwalimu na kiongozi aliyegusa maisha ya wengi hapa Tanzania, Mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake, wasichana na makundi mengine yaliyoko pembezoni. Dada Fides amekuwa mtu wa watu, mcheshi, mwenye upendo, utu,...

 

11 years ago

BBC

Portugal legend Eusebio dies aged 71

Mozambican-born Portugal football legend Eusebio, who was top scorer at the 1966 World Cup, dies aged 71, the Lusa state news agency reports.

 

11 years ago

BBC

VIDEO: Eusebio's nine goals at 1966 World Cup

Watch all nine of Eusebio's goals at the 1966 World Cup in England, where he finished as the tournament's top scorer.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yampoteza mtu muhimu, ni Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki dunia mapema leo

Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita

Taifa likiwa katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania Bar na Zanzibar, mapema leo limepata pigo baada ya kuondokewa na mtu muhimu na aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki katika dunia majira ya asubuhi katika hospitali kuu ya Jeshi, Lugalo,  jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa duru za habari kutoka familia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani