FAMILIA YALA KRISMASI NJE!

Familia hiyo ikiwa nje baada ya nyumba yao kuvunjwa. Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah Familia moja yenye makazi yake Mtaa wa Mwembe-Madafu, Ukonga jijini Dar, imejikuta ikila Sikukuu ya Krismasi na kulala nje kwa madai kwamba nyumba yao imevunjwa na baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine na mwanafamilia anayetajwa kwa jina la Omary Hamisi ambaye ni mtoto mkubwa wa familia hiyo. Akizungumza kwa masikitiko makubwa mbele ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MAJONZI TELE! FAMILIA YALA KRISMASI NJE!

10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Africanjam.Com
10 years ago
Africanjam.Com
10 years ago
Habarileo10 Aug
Familia ya Kawawa 'yatupwa' nje CCM
SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka katika kura za maoni jimboni Namtumbo, Ruvuma.
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!
10 years ago
GPL
INASIKITISHA: FAMILIA YATUPIWA YATUPIWA VYOMBO NJE!
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Yala: Shule iliyogeuka ‘kisiwa’
11 years ago
GPL
Brazil mambo magumu, Algeria yala kipondo