MAJONZI TELE! FAMILIA YALA KRISMASI NJE!
![](http://4.bp.blogspot.com/-ynNJtijr2sM/VJuZi2YQ14I/AAAAAAAA0PI/PbwZLHQp7y0/s72-c/nyumba88.jpg)
Familia hiyo ikiwa nje baada ya nyumba yao kuvunjwa. Stori: Deogratius Mongela na Chande AbdallahFamilia moja yenye makazi yake Mtaa wa Mwembe-Madafu, Ukonga jijini Dar, imejikuta ikila Sikukuu ya Krismasi na kulala nje kwa madai kwamba nyumba yao imevunjwa na baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine na mwanafamilia anayetajwa kwa jina la Omary Hamisi ambaye ni mtoto mkubwa wa familia hiyo. Akizungumza kwa masikitiko makubwa mbele ya waandishi wetu, mmoja wa wanafamilia hao, Rajabu Hamisi (28)...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe6C2JrmOc7G66Srl6vt-EUouRHG-94pwUKJRQWXpD-gq8pPvLCE2oq2pflD8ZSsh1VY5Ux8-WL-aLklRRwwi1jl/nyumba88.jpg)
FAMILIA YALA KRISMASI NJE!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/DCr_y_VEY8M/default.jpg)
10 years ago
Habarileo08 Apr
NHIF yalipa bil. 5/- za Tele kwa Tele
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshalipa halmashauri mbalimbali zaidi ya Sh bilioni 5 kama mchango wa serikali katika mfumo wa tele kwa tele.
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-zIK0Iaqcf5w/VYE1IEtfqYI/AAAAAAAACHY/IZhvwCot8Y8/s72-c/vlcsnap-2015-06-16-16h59m34s130.png)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-mow3Uc9KiQc/VX73ZFhmoOI/AAAAAAAACDg/qmYiP0m7r-g/s72-c/msami-yalayala.jpg)
10 years ago
Habarileo10 Aug
Familia ya Kawawa 'yatupwa' nje CCM
SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka katika kura za maoni jimboni Namtumbo, Ruvuma.
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmNff4ohdnoRT3iY9vQlTOJuC*igAm0-klXa24ciOJoXAn0z9ld65HM5qUSAFAO*sqfsc4oEfzUJaDWTooHbkU4-/BACKUWAZI3.jpg?width=650)
INASIKITISHA: FAMILIA YATUPIWA YATUPIWA VYOMBO NJE!
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Yala: Shule iliyogeuka ‘kisiwa’