Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INASIKITISHA: FAMILIA YATUPIWA YATUPIWA VYOMBO NJE!

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
USIOMBE yakukute! Beatrice Nyato au mama Prisca, mkazi wa Kurasini, Dar, anapika, anapakua na kulala nje ya nyumba yake baada ya kutupiwa vyombo nje na mtu aliyemtaja kwa jina moja la Anwar ambaye ni mkurugenzi wa kampuni moja ya usafirishaji ya jijini Dar. Beatrice Nyato au mama Prisca, mkazi wa Kurasini, Dar, anayepika, anapakua na kulala nje ya nyumba yake. Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA ATUPIWA VYOMBO NJE

Na Haruni Sanchawa Mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam, Mwita Chacha alivunjiwa geti kisha kutupiwa vyombo vyake nje baada ya kuvamiwa hivi karibuni na watu waliodaiwa kuwa ni kutoka saccos moja ya jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili, Chacha alidai kuwa tukio hilo lilitokea katika maeneo ya Pugu Kwalala, Kata ya Pugu, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam wakati akiwa mbali na nyumbani kwake.  Soma zaidi hapa...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YALA KRISMASI NJE!

Familia hiyo ikiwa nje baada ya nyumba yao kuvunjwa. Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
Familia moja yenye makazi yake Mtaa wa Mwembe-Madafu, Ukonga jijini Dar, imejikuta ikila Sikukuu ya Krismasi na kulala nje kwa madai kwamba nyumba yao imevunjwa na baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine na mwanafamilia anayetajwa kwa jina la Omary Hamisi ambaye ni mtoto mkubwa wa familia hiyo. Akizungumza kwa masikitiko makubwa mbele ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi BoT atupiwa vyombo nje

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya, ameilalamikia benki hiyo kwa kumtolea vyombo vyake nje katika nyumba aliyokuwa akiishi inayomilikiwa na benki hiyo. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Habarileo

Familia ya Kawawa 'yatupwa' nje CCM

SIKU chache baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Zainab Kawawa kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM katika Jimbo la Liwale mkoani Lindi, kaka yake, Vita Kawawa naye ameripotiwa kuanguka katika kura za maoni jimboni Namtumbo, Ruvuma.

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo wa zamani BOT atupiwa vyombo nje

>Mkurugenzi wa zamani wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya amejikuta akitupiwa vyombo vyake nje na Kampuni ya Udalali ya Mwafrika kwa kile kilichoelezwa kutakiwa kuondoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI TELE! FAMILIA YALA KRISMASI NJE!

Familia hiyo ikiwa nje baada ya nyumba yao kuvunjwa. Stori: Deogratius Mongela na Chande AbdallahFamilia moja yenye makazi yake Mtaa wa Mwembe-Madafu, Ukonga jijini Dar, imejikuta ikila Sikukuu ya Krismasi na kulala nje kwa madai kwamba nyumba yao imevunjwa na baada ya kuuzwa kwa mtu mwingine na mwanafamilia anayetajwa kwa jina la Omary Hamisi ambaye ni mtoto mkubwa wa familia hiyo. Akizungumza kwa masikitiko makubwa mbele ya waandishi wetu, mmoja wa wanafamilia hao, Rajabu Hamisi (28)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!

patandi 2

Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha,Janet Tinai akilalamika mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa na baadhi ya vyombo vyake  mara baada ya kuhamishwa kwa amri ya mahakama na kampuni ya Majembe Auction Mart juzi. (picha zote na Moses Mashalla). Na Mahmoud Ahmad [ARUMERU] Serikali imeombwa kuingilia kati sakata la familia ya Juma Isangu mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha kuondolewa na kisha kuvunjiwa nyumba waliyokuwa wakiishi kwa amri ya...

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani