Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFANYABIASHARA ATUPIWA VYOMBO NJE

Na Haruni Sanchawa Mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam, Mwita Chacha alivunjiwa geti kisha kutupiwa vyombo vyake nje baada ya kuvamiwa hivi karibuni na watu waliodaiwa kuwa ni kutoka saccos moja ya jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili, Chacha alidai kuwa tukio hilo lilitokea katika maeneo ya Pugu Kwalala, Kata ya Pugu, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam wakati akiwa mbali na nyumbani kwake.  Soma zaidi hapa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi BoT atupiwa vyombo nje

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya, ameilalamikia benki hiyo kwa kumtolea vyombo vyake nje katika nyumba aliyokuwa akiishi inayomilikiwa na benki hiyo. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo wa zamani BOT atupiwa vyombo nje

>Mkurugenzi wa zamani wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya amejikuta akitupiwa vyombo vyake nje na Kampuni ya Udalali ya Mwafrika kwa kile kilichoelezwa kutakiwa kuondoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi.

 

10 years ago

Vijimambo

MPANGAJI WA NHC MBEYA ATUPIWA VITU NJE

Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya  wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya .ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe)Baadhi ya wananchi wakishangaa zoezi la utoaji wa vitu nje kwa mpangaji wa NHC ambaye amekuwa akidaiwa muda mrefu na shirika hilo.

 

9 years ago

Bongo5

Nje ya muziki mimi ni mfanyabiashara — Dogo Janja

Dogo Janja anafanya muziki, lakini kutokana na biashara ya muziki kuwa haina uhakika wa lini msanii ataingiza kiasi gani kama ilivyo kwa wafanyakazi wenye uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi, anacho kitu kingine ambacho anakifanya kumuongezea kipato. Janjaro ambaye anafanya kazi chini ya Madee na Tip Top Connection, amesema kuwa anafanya biashara ndogo ndogo […]

 

10 years ago

GPL

INASIKITISHA: FAMILIA YATUPIWA YATUPIWA VYOMBO NJE!

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
USIOMBE yakukute! Beatrice Nyato au mama Prisca, mkazi wa Kurasini, Dar, anapika, anapakua na kulala nje ya nyumba yake baada ya kutupiwa vyombo nje na mtu aliyemtaja kwa jina moja la Anwar ambaye ni mkurugenzi wa kampuni moja ya usafirishaji ya jijini Dar. Beatrice Nyato au mama Prisca, mkazi wa Kurasini, Dar, anayepika, anapakua na kulala nje ya nyumba yake. Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Mourinho atupiwa virago Chelsea

mourinho-jose-424737LONDON England

CHELSEA hatimaye imefikia uamuzi mgumu kabisa wa kumtimua kocha wao kipenzi, Jose Mourinho ikiwa ni miezi saba tu tangu kocha huyo aimbiwe wimbo wa kishujaa baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa England.

Uamuzi wa Bodi ya Chelsea umetangazwa jana jioni na umeelezwa kuchangiwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi Kuu ya England (EPL) msimu huu, ambapo timu hiyo inashika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 15 kutokana na michezo 16 iliyocheza.

Kufungwa na vinara wa ligi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blatter atupiwa pesa Zurich

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter ametupiwa pesa na mtu aliyevamia mkutano wake na wanahabari.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ATUPIWA JINI, LAMPATA MAMA'KE

Musa mateja/Ijumaa wikiendaImevuja! Kuna madai kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametupiwa jini lakini likamkosa na kumpata mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’ kisha kumsababishia ‘gonjwa’ la ajabu, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’.
TUJIUNGE NA CHANZOKwa mujibu wa chanzo makini, watu wanaodaiwa kuwa ni wabaya wa Diamond (Anti-Diamond) walimtupia jini staa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maximo rasmi atupiwa virago yanga

Klabu ya Yanga imewatupia virago rasmi makocha wabrazil Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonardo Neiva kwa matokeo mabavu ya klabu hio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani