Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPANGAJI WA NHC MBEYA ATUPIWA VITU NJE

Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya  wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya .ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe)Baadhi ya wananchi wakishangaa zoezi la utoaji wa vitu nje kwa mpangaji wa NHC ambaye amekuwa akidaiwa muda mrefu na shirika hilo.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MFANYABIASHARA ATUPIWA VYOMBO NJE

Na Haruni Sanchawa Mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam, Mwita Chacha alivunjiwa geti kisha kutupiwa vyombo vyake nje baada ya kuvamiwa hivi karibuni na watu waliodaiwa kuwa ni kutoka saccos moja ya jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili, Chacha alidai kuwa tukio hilo lilitokea katika maeneo ya Pugu Kwalala, Kata ya Pugu, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam wakati akiwa mbali na nyumbani kwake.  Soma zaidi hapa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi BoT atupiwa vyombo nje

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya, ameilalamikia benki hiyo kwa kumtolea vyombo vyake nje katika nyumba aliyokuwa akiishi inayomilikiwa na benki hiyo. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo wa zamani BOT atupiwa vyombo nje

>Mkurugenzi wa zamani wa Fedha wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Elisa Issangya amejikuta akitupiwa vyombo vyake nje na Kampuni ya Udalali ya Mwafrika kwa kile kilichoelezwa kutakiwa kuondoka kwenye nyumba aliyokuwa akiishi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!

patandi 2

Mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha,Janet Tinai akilalamika mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) akiwa na baadhi ya vyombo vyake  mara baada ya kuhamishwa kwa amri ya mahakama na kampuni ya Majembe Auction Mart juzi. (picha zote na Moses Mashalla). Na Mahmoud Ahmad [ARUMERU] Serikali imeombwa kuingilia kati sakata la familia ya Juma Isangu mkazi wa eneo la Duluti wilayani Arumeru mkoani Arusha kuondolewa na kisha kuvunjiwa nyumba waliyokuwa wakiishi kwa amri ya...

 

9 years ago

Bongo5

Vitu gani wasanii wa nje wanavyoviangalia kabla ya kukubali kufanya collabo? — Shetta ana majibu

Collabo za kimataifa ni kitu muhimu kwa mwanamuziki yeyote mwenye malengo ya kujitangaza zaidi nje ya mipaka ya nyumbani. Japo sio kazi rahisi kwa msanii kupata collabo na wasanii wakubwa wa nje kama msanii huyo asipozingatia vitu muhimu. Moja ya faida za collabo ni pande zote mbili kupata mashabiki wapya kutoka kila upande wa wasanii […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC yafunga kanisa Mbeya

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limelifunga Kanisa la Imani Isiyoshindwa la jijini Mbeya kwa madai ya kutolipa kodi ya pango. Kanisa hilo lilifungwa juzi, saa 6 mchana na maofisa...

 

10 years ago

Bongo5

Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!

Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NYUMBA TANZANIA (NHC) LAKARABATI SHULE YA HASSANGA JIJINI MBEYA

 Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas  Kandoro akikata utepe kuzindua ukarabati wa Madarasa manne na Jengo moja la Utawala katika Shule ya Msingi Hasanga uliofanyika leo Uyole Mbeya.Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas  Kandoro, viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania (NHC), Viongozi wengine wa Serikali na Walimu wa Shule ya Msingi ya Hasanga wakifurahia Baada ya Kuzindua Rasmi ukarabati wa ujenzi huo.Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

NHC yasaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujeni wa Nyumba 5,000 za garama nafuu.Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum.
 Mhe.Prof Marck Mwandosya,Waziri, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe MasharikiMawaziri mwingine aliyehudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani