Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fanisi kutumia dola 6m kusaidia wasindikaji wa Tanzania

*Fanisi Venture Capital Fund imetoa dola za Kimarekani milioni 6 kwa maendeleo ya kampuni ya  Kijenge Animal Product Limited.Kijenge ni kampuni mseto ya usindikaji iliyopo mkoani Arusha,ambayo inajihuhisha na usagaji mahindi, uzalishaji wa chakula cha wanyama na kuku ambao wako tayari kwa kula, kilimo na usindikaji. Kampuni hiyo iko katika mchakato wa kujenga msingi kwa ajili ya awamu nyingine ya ukuaji ambapo kutakuwa na ongezeko la vyanzo mbalimbali vya  mapato yake kwa kuboresha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI


Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha


Na Ahmed Mahmoud Arusha

CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.

Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...

 

10 years ago

GPL

ATAPELI KWA KUTUMIA DOLA ZA MAREKANI, ACHEZEA KICHAPO

Stori: Saimeni Mgalula, Mbeya
MAKUBWA! Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mkazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba mkoani Mbeya, amechezea kipigo cha ‘kufa mtu’ kufuatia madai ya kutaka kumwibia kwa kutumia dola za Kimarekani mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Anna. Akiwa mikononi mwa polisi. Tukio hilo la aina yake, lilijiri muda wa asubuhi, hivi karibuni maeneo ya Kisimani katika...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132

MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?

EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...

 

10 years ago

GPL

TIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans na Daktari Bingwa wa Mifupa wa Hospitali hiyo, Prosper Alute.  Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo. ...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YAASWA KUTUMIA SEHEMU YA FAIDA WANAYOPATA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA.

  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akikabidhi msaada wa shuka 176 kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Dkt.Martin Msokela (kulia) leo. Mashuka hayo yametolewa na chuo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi,Mashirika na Makampuni yaaswa kutumia sehemu ya faida wanayopata kusaidia Huduma za AFYA

image Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo.

Aron Msigwa -MAELEZO. [Kisarawe, PWANI]. Wito umetolewa kwa Taasisi, mashirika na makampuni kote nchini kujenga utamaduni  wa kutumia sehemu ya faida wanayoipata katika kuisaidia jamii kupitia sekta ya afya ambayo inakabiliwa na changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani