Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FCDL, Tawofe kuongeza ubora wa samani

KAMPUNI ya Furniture Centre (FCDL), na Tanzania Woodworking Federation (Tawofe), wamesaini makubaliano (MoU) kuongeza ubora wa bidhaa za samani zinazotengenezwa nchini na kuzifanya zipate soko ndani na nje ya nchi....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LACHOCHEA UBORA WA UTENGENEZAJI SAMANI NCHINI


KAMPUNI ya Furniture Centre (FCDL), na Shirikisho la Watengenezaji Samani Nchini (TAWOFE), wamesaini makubaliano (MoU) kuongeza ubora wa bidhaa za samani zinazotengenezwa nchini na kuzifanya zipate soko ndani na nje ya nchi.Makubaliano haya yamekamilika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ikiwa ni mwendelezo wa Tathimini iliyofanywa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, katika kuiwezesha...

 

9 years ago

StarTV

   TFDA kuongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa Vifaa Vya Kupima Damu

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa TFDA imesema itaongeza nguvu katika kudhibiti ubora wa vifaa vinavyotumika kupima damu au kitu chochote katika mwili wa binadamu.

Vitendanishi hivyo ni pamoja na mate, mkojo na haja kubwa ili kutambua tatizo lililoko mwilini na kuondoa utata wa majibu unaotokana na baadhi ya vitendanishi kutokukidhi ubora, usalama na utendaji kazi unaotakiwa.

Meneja wa usajili wa vifaa tiba kutoka TFDA   Bi Agnes Kijo ameyasema hayo wakati akizungumza katika mkutano...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.NAGU ASHUHUDIUA UWEKAJI WA SAINI MAKUBALIANO YA FURNITURE CENTER NA TAWOFE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. DK. Mary Nagu akiangalia samani wakati wa sherehe fupi ya uwekaji  saini makubaliano kati ya Funiture Center DSM na Shirikisho la Mafundi Samani Tanzania (TAWOFE) katika ofisi za Furniture Center Dar es Salaam.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. DK. Mary Nagu akishudui uwekaji saini makubaliano kati ya Funiture Center DSM na Shirikisho la Mafundi Samani Tanzania (TAWOFE) tarehe 29 Oktoba, 2014...

 

11 years ago

Mwananchi

Samani za JKT, Veta zakubalika

>Samani zinazotengenezwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Mamlaka ya Mafunzo na Ufundi (Veta), zinaweza kupunguza gharama ambayo Serikali inaingia kwa kuagiza vifaa hivyo kutoka nje ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yashauriwa kutumia samani za wazawa

Serikali imeshauriwa kuhakikisha inatumia bidhaa zinazotengenezwa nchini na kuacha kuagiza samani za ofisini kutoka nje ya nchi, ambazo zina ubora mdogo zikilinganishwa na zinazotengenezwa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yasaidia samani Polisi Oysterbay

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuunga mkono serikali kupitia Jeshi la Polisi Usalama Barabarani kwa kuwapatia vifaa vya ofisi kwa ajili ya Kituo cha Usalama Barabarani...

 

9 years ago

StarTV

Makanisa matatu yavunjwa na kuchomwa samani zake.

 

Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake kuchomwa moto ndani ya siku moja likiwa ni tukio la pili kutokea katika kipindi cha wiki mbili sasa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa matukio hayo na kwamba jeshi la Polisi bado linaendelea na upelelezi kuhakikisha linawatia mbaroni wale wote wanaohusika na vitendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani