Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FEMA TV SHOW ‘NGUVU YA BINTI’ YATARAJIWA KUANZA RASMI

Mtangazaji wa kipindi cha Fema Tv Show,Rebecca Gyumi akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya uzinduzi rasmi wa kipindi hicho cha Fema Tv Show,itakayo anza rasmi Julai 13 hadi Septemba mwaka huu,huku mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho,Ummy Omary akisikiliza kwa umakini. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini juu ya uzinduzi wa onyesho hilo la Fema Tv.
Na Bakari  Issa, Globu ya jamii.FEMINA Hip kwa kushirikiana na asasi zingine za kiraia inatarajia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu

WizkidMuimbaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Wizkid akisindikizwa na wasanii wakubwa wa Tanzania, Diamond, Christian Bella pamoja na Fid Q jana katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki. Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake Wasanii hao waliopanda kwenye jukwaa hilo katika mida mida tofauti, kila mmoja alitaka kuonyesha […]

 

10 years ago

Vijimambo

Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria, Diamond Afunguka na Kusema Haamini Macho yake

STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.Akizungumza na Showbiz, Diamond alisema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi maana hii inaonyesha jinsi gani...

 

10 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW KUANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika  ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu wa tatu wa kipindi chake 'The Mboni Show' kinachotarajia kuanza Jan 2, 2015. Kushoto ni kiti MC Zimpompa na kuanzia kulia ni Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (PSPF) Magira Werema na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC,Bw.Fadhili Chilumba.Kutoka Kulia Afisa Masoko wa Mfuko wa Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW SASA KUANZA KUONEKANA KWENYE DSTV

The MBONI show sasa kuanza kuonekana kwenye DSTV

 

9 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA WADONDOSHA SHOW YA NGUVU JIJINI MBEYA CHINI YA UDHAMINI YA KINYWAJI CHA K-VANT GIN

Wanamuziki wa Bendi ya Fm Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakitoa burudani kwa mashabiki wao siku ya uzinduzi wa Hotel ya Mfikemo Sae jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.Picha Elvis Kimambo Jamiimojablog Mashabiki na wadau wa Fm Academia wakiserebuka katika onyesho hilo. Mkurugenzi wa Hotel ya Mfikemo Ndugu Lwitiko Mwandembele (katikati) Jofrey Ananiah kulia na wengine wakifurahia jambo siku ya uzinduzi wa hotel hiyo ambapo kuliambatana na onyesho la Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Meneja...

 

11 years ago

Bongo5

DJ Cuppy: Binti wa bilionea Femi Otedola ($1.2bn) aliyekuwa DJ rasmi kwenye tuzo za MTV MAMA 2014 (Picha)

Ule usemi kuwa walionacho huongezewa zaidi na wale wasiokuwa nacho hata kile kidogo walichonacho huchukuliwa, unaleta maana zaidi ukiangalia familia ya bilionea wa Nigeria, Femi Otedola ambaye yeye na Aliko Dangote ni Wanaijeria pekee walioingia kwenye orodha ya Forbes ya watu matajiri zaidi duniani. Femi Otedola ni CEO wa kampuni ya mafuta ya Forte Oil […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani