Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fichueni wakimbizi wenye silaha- PM

Wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) wanaoishi kambi za Nyarugusu na Nduta mkoani hapa, wameagizwa kuwafichua wenzao wanaomiliki silaha ili wakamatwe na kufikishwa mahakamani kwa kukiuka sheria.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha

>Watu wenye silaha wamevamia kituo cha polisi cha Staki Shari jijini Dar es Salaam ambapo katika tukio hilo, watu saba wameripotiwa kuuawa, huku silaha zilizokuwepo katika kituo hicho zikiibwa.

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya Igunga awaambia wananchi “Chonde chonde fichueni wanaoficha wenye maradhi ya Fistula”

Wakazi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Zipporah Pangani, alipokuwa akiwaelewesha juu ya maradhi ya Fistula wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi hayo wilayani humo.Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume kuwaruhusu akina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 kwa...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA IGUNGA AWAAMBIA WANANCHI “CHONDE CHONDE FICHUENI WANAOFICHA WENYE MARADHI YA FISTULA”

Wakazi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Zipporah Pangani,  alipokuwa akiwaelewesha juu ya maradhi ya Fistula wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi hayo wilayani humo.Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation  inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume  kuwaruhusu akina mama kujitokeza  ili...

 

9 years ago

Habarileo

Wakimbizi waagizwa kusalimisha silaha

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali sambamba na kuwafichua wakimbizi wenzao watakaoingia kambini na silaha na kujihusisha na vitendo vya ujambazi.

 

5 years ago

CCM Blog

JWTZ YAKAMATA SILAHA ZA KIVITA MAKAMBI YA WAKIMBIZI KATAVI

  Serikali ya  Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Jeshi la  Wananchi kikosi cha 202 na 401  wamefanikiwa  kukamata Bunduki 50 zikiwemo 13 za kivita na tatu zilizotengenezewa nchi za ulaya aina ya  G3 kufutia masako uliofanywa kwa muda wa siku 21 katika Makazi ya wakimbizi ya Katumba na Mishamo humo
Operesheni hiyo imefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa mwezi Oktoba  mwaka jana wakati wa ziara yake  Mkoani Katavi kwa uongozi wa Serikali ambapo aliwataka  ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu awataka wakimbizi kutokuja na silaha nchini!!

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akizungumza na wakimbizi wa Burundi na Congo katika kambi ya Nyarugusu hapo jana. (Picha na Emmanuel Senny)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akizungumza na wakimbizi wa Burundi na Congo katika kambi ya Nyarugusu hapo jana. (Picha na Emmanuel Senny).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amewataka wakimbizi wanaokuja nchini ili kuomba hifadhi kuacha kubeba silaha nakujanazo nchini kwani kwa kufanya hivyo kunachochea vitendo vya kiharifu.

Akizungumza na wakimbizi wa kambi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema

 

10 years ago

Vijimambo

WENYE SILAHA ZA NYUKILIA WATUHAKIKISHIE USALAMA -TANZANIA

.Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya uthibiti wa silaha za nyukilia hapo siku ya jumanne. Akizungumza msimamo wa Tanzania kuhusu silaha hizo, Balozi Mwinyi amezitaka nchi zinazomiliki silaha hizo kuonyesha utashi wa kisiasa wa kuzipunguza na kuzidhibiti ili zisisambae kiholela lakini pia waihakikishie dunia usalama wake.Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye silaha wavamia kambi ya jeshi India

Washambuliaji wanne wameuawa baada ya wanajeshi wa India kuzima shambulio la mapema asubuhi katika kambi la jeshi ya Pathankot.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani