FID Q KAPEWA TUNZO HII HAPA JITIRIRISHE
Good news ninayokusogezea ni hii inamuhusu rapper Fareed Kubanda ambaye leo hii amekabidhiwa tuzo ya Champion of the 2015 European year for development in Tanzaniakutoka umoja wa nchi za Ulaya.Akiongea kwenye Amplifaya:..’Tarehe hii ya leo ambayo ni 17 machi ikiwa siku ya Jumanne nina furaha sana kwasababu ni siku ambayo nimepewa tuzo ya CHAMPION of the 2015 European year for developement, lakini nimepewa kwasababu nilikuwa natenga muda wangu kukaa na kuzungumza na jamii, kwa mfano...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
JITIRIRISHE NA HII HAPA NA WEWE

10 years ago
Vijimambo21 May
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
HII HAPA MAPENZI PESA DIAMOND NA NAY WA MITEGO JITIRIRISHE NA WEWE KIROHO SAFI

10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo03 Sep
10 years ago
Vijimambo29 May
MJUE MAKONGORO NYERERE JITIRIRISHE HAPA CHINI

Moses Ng’wat, Mbeya
SIKU moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusema kampeni za uchaguzi mkuu zitaanza Agosti 22, mwaka huu, Makongoro Nyerere ameonesha nia ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Makongoro ambaye ni mtoto wa mwasisi wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitangaza nia yake hiyo jana mjini Mbeya.Alisema wakati huu anajisikia yuko tayari kiafya, kiakili na ana nguvu ya kulitumikia taifa, hivyo atachukua fomu kugombea nafasi hiyo.Makongoro ambaye mwaka...
11 years ago
Vijimambo
11 years ago
Vijimambo20 Sep
BAADHI YA MAKABILA YA TANZANIA NA TABIA ZA NDANI JITIRIRISHE HAPA

Jitirirshe hapa chini juu ya tabia za baadhi ya makabila kama ukioa au kuolewa.
