Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fifa yaliibua upya suala la Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia) mwenye mpira akijiandaa kuwatoka mabeki wa timu ya Mtibwa Sugar. Na Said Ally
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limetuma barua nyingine kwa Simba ambayo inamzungumzia mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Barua hiyo ambayo ni ya pili ndani ya miezi miwili, inaeleza kuwa lazima Simba italipwa fedha zake dola 300,000 (Sh milioni 480). Awali, Fifa iliiandikia barua Simba ikidai...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA

Manji akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini.…

 

11 years ago

GPL

Fifa: Okwi rukusa Yanga

Na Waandishi Wetu
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limesema mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kujiunga na timu yoyote inayomhitaji. Baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili wa Yanga, wakiongozana na Emmanuel Okwi mara baada ya kuwasiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ambapo alipitia katika mlango wa watu maarufu 'VIP'. Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi cha Simba kabla kuuzwa Etoile du Sahel,...

 

11 years ago

Mwananchi

Fufa yamuulizia Okwi Fifa

>Shirikisho la Soka Uganda (Fufa) limeiandikia barua Shirikisho la Soka la Dunia (Fifa) likitaka ufafanuzi kuhusu usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyesajiliwa na Yanga akitokea SC Villa ya Uganda.

 

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga kumburuza Okwi FIFA

Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi

NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.

Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa

>Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ kimefanya uongozi wa Yanga, kutupilia mbali wazo la kumshitaki Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa( Fifa).

 

11 years ago

TheCitizen

Okwi happy after Fifa clears him for Yanga

Young Africans star striker Emmanuel Okwi says he is delighted after Fifa cleared him to feature for Tanzanian heavyweights on Thursday.

 

11 years ago

Mwananchi

Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga

>Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limemaliza utata kwa kumruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuitumikia Yanga kama usajili wake umekidhi vigezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba kulipeleka sakata la Okwi Fifa

Siku moja baada ya Yanga kutangaza  kumsajili mshambuliaji Emmanuel Okwi, uongozi wa Simba umesema hauna ugomvi na mchezaji  huyo licha ya kudai kufuatilia suala hilo Shirikisho la Soka Duniani (Fifa).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani