Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Figo aitaka nafasi ya Blatter Fifa

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ureno, Luis Figo amejiunga na idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuwania nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Issa Hayatou achukua nafasi Sepp Blatter FIFA

Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika, Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou atachukua nafasi hiyo kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo, FIFA linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa. Hayatou, […]

 

10 years ago

BBC

Africa divided over Blatter - Figo

Fifa presidential candidate Luis Figo believes incumbent Sepp Blatter does not have the backing of all of Africa in his bid for re-election.

 

10 years ago

BBC

Bwalya: 'Fifa too early for Figo'

African football legend Kalusha Bwalya believes it is too early for Luis Figo to challenge Sepp Blatter for the Fifa presidency.

 

10 years ago

BBCSwahili

Luis Figo atangaza kuwania urais FIFA

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ureno, Luis Figo ametangaza kuwania urais wa FIFA.

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...

 

10 years ago

BBC

Fifa re-elects Blatter president

Fifa re-elects Sepp Blatter president as his rival withdraws after the first round of a vote overshadowed by allegations of corruption in world football.

 

10 years ago

BBCSwahili

Blatter anawania Urais wa FIFA

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter,anagombea kiti cha urais katika uchaguzi wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika leo huko Zurich Uswisi.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU URAIS FIFA

Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita. MTIKISIKO, Rais wa FIFA Sepp Blatter (79) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Urais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufuatia kashfa ya rushwa. Taarifa iliyotolewa leo makao makuu ya FIFA mjini Zurich, Uswisi, Blatter amesema anaondoka baada ya miaka 17… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani