Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fikra ikibadilika italeta mtazamo chanya

LEO tutajadiliana namna fikra inavyobadilisha mtazamo, pamoja na kuambiwa kuwa takriban bilioni moja ya watu wanaoishi duniani ni vijana na kwamba asilimia 85 ya vijana hao wanaishi katika nchi zinazoendelea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Muhimu kuwa fikra chanya katika maisha

FIKRA chanya si kitu kipya katika maisha ya mwanadamu. Ni vema ukawa na fikra chanya katika vitu unavyovifanya kwa kuamini vinaweza kukuletea mabadiliko. Mwandishi maarufu Napoleon Hill katika kitabu chake...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nguvu ya fikra chanya katika uhuru wa kifedha

CHANGAMOTO kubwa tuliyonayo kifedha ni kuwa na mtazamo hasi kuhusu fedha, tunafikiri zaidi kuhusu uhaba wa fedha kuliko utoshelezi. Kila binadamu ana chanzo cha pesa, haijalishi una kazi au huna...

 

11 years ago

BBCSwahili

Katiba mpya italeta afueni Misri?

Wanaounga mkono rasimu ya katiba mpya wanasema kuwa itaimarisha demokrasia katika siku za usoni.

 

11 years ago

Michuzi

APRM: ‘BIG RESULTS NOW’ italeta manufaa

Na Hassan Abbas
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) tawi la Tanzania, Rehema Twalib ametoa pongezi kwa Rais Jakaya Kikwete na Serikali ya Tanzania kwa kuanzisha Kitengo cha Utekelezaji wa Miradi Mikubwa ili kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.
Bi Rehema alisema kuanzishwa kwa Kitengo hicho chini ya Ofisi ya Rais (PDB) ni sehemu ya utekelezaji wa maoni ya wananchi wengi ambapo walipohojiwa katika tathmini ya APRM waliainisha changamoto kubwa ya...

 

9 years ago

Bongo5

Gabo asema filamu yake mpya ya ‘Safari ya Gwalu’ italeta mapinduzi

Msanii wa filamu aliyetamba kwenye Bado Natafuta, Gabo Zigamba amesema filamu yake mpya ‘Safari ya Gwalu’ italeta mapinduzi nchini. Gabo ameiambia Bongo5 leo kuwa uwezo aliouonesha katika kazi hiyo utawafanya watu waamini kipaji chake. “Mimi nategemea mafanikio makubwa kwa sababu hii ni miba ya nyikani na haivunjiki kwa mkono,” amesema. Ajira isiyo rasmi sasa tunakwenda […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni wakati wa wasomi kushiriki mabadiliko chanya

KIONAMBALI alikuwa akisoma kitu kwenye mtandao. Mwandishi wa kitu kile alikuwa anasema kwamba wanafunzi wenye akili nyingi husoma na kuwa wahandisi. Wenye akili za wastani husoma na kuwa wahasibu na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho ya elimu kuibua changamoto chanya

KATIKA kutatua baadhi ya changamoto zinazohusu masuala ya elimu kwa vijana nchini, imebainika hali hiyo wakati mwingine inachangiwa na sekta husika kutokuwa na mawasiliano ya karibu. Hata hivyo, baadhi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mitandao ya kijamii itumike kwa malengo chanya

MITANDAO ya kijamii ni mizuri katika kuhabarisha umma, endapo inatumiwa kulingana na madhumuni iliyotengenezwa, kwani ina nguvu ya kusambaza habari kwa haraka na kwa wakati. Pamoja na umuhimu wa mitandao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza dogo lingetosha kuleta mabadiliko chanya

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo rais aliziba nafasi za mawaziri watano ambapo wanne walitokomezwa na Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani