Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni

Kampuni ya Sony Picutues inasema kuwa - the interview imekuwa yenye mafanikio zaidi mitandaoni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Filamu yenye utata yawekwa mitandaoni

Sony Pictures imesema kuwa sinema ya ucheshi kuhusu namna ya kumuuwa kiongozi wa Korea Kaskazini imewekwa katika mitandao

 

10 years ago

Dewji Blog

Filamu ya “The Interview” ya kumuua kiongozi wa Korea yafanya vyema

The-Interview-Movie-Poster-Wallpaper

Filamu ya Sony ya The Interview ambayo inazungumzia mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini imekuwa filamu ya kwanza ya Sonny kufanya vyema sana katika mtandao kwa kuingiza dola milioni 15 katika siku 4 tu za kuanza kuonwa kwake.

Filamu hiyo iliingia sokoni Desemba 24.

Pamoja na kuingiza fedha hizo filamu hiyo imepakuliwa zaidi ya mara milioni 2 hadi kufikia Desemba 27.

Filamu hiyo ambayo inazungumzia mpango wa Marekani wa kumuua kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un, awali...

 

10 years ago

Bongo5

Eminem ameigiza kwenye filamu ya ‘The Interview’ ambamo alijitangaza kuwa ni shoga (Video)

Eminem ameigiza pia kwenye filamu ya The Interview ambayo imekuwa chanzo cha kukua kwa mgogoro kati ya Marekani na Korea Kaskazini. Kuonekana kwa Eminem kwenye filamu hiyo kunaweza kuwa kunachekesha zaidi kwa wengi pale ambapo rapper huyo anayefahamika kwa mashairi yake ya kuwaponda mashoga akimshangaza mtangazaji (nafasi iliyoigizwa na James Franco) aliposema kuwa naye ni […]

 

10 years ago

Bongo5

Sony wasitisha kutoa filamu ya komedi ‘The Interview’ iliyohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

Kampuni ya Sony Pictures Entertainment imesitisha kutoa filamu yake ya komedi, The Interview ambayo inazungumzia mkasa wa kutunga unaohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kusini, Kim Jong-un. Kampuni hiyo ilikuwa ifanye uzinduzi wa filamu hiyo siku ya Christmas lakini hackers walitishia kufanya shambulizi kama la 9/11 kwenye majumba ya sinema ambayo yangeionesha nchini Marekani. […]

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sakata la kushushwa kwa bei za filamu.Watayarishaji filamu nao waibuka

Bodi ya Filamu kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda na Biashara, TRA, TBS, imekuwa ikifanya vikao vya ndani zaidi ya viwili sasa na wasambazaji wa filamu ili kuzungumzia suala ya bei ya filamu. “Tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vyote vinavyoshiriki haya masuala ya filamu, kusifanyike mkutano wa aina yoyote ile kuzungumzia bei ya filamu bila kushirikisha maprodyuza, sisi ndiyo wenye filamu na ndiyo tunaotengeneza sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani