Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya “The Interview” ya kumuua kiongozi wa Korea yafanya vyema

The-Interview-Movie-Poster-Wallpaper

Filamu ya Sony ya The Interview ambayo inazungumzia mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini imekuwa filamu ya kwanza ya Sonny kufanya vyema sana katika mtandao kwa kuingiza dola milioni 15 katika siku 4 tu za kuanza kuonwa kwake.

Filamu hiyo iliingia sokoni Desemba 24.

Pamoja na kuingiza fedha hizo filamu hiyo imepakuliwa zaidi ya mara milioni 2 hadi kufikia Desemba 27.

Filamu hiyo ambayo inazungumzia mpango wa Marekani wa kumuua kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un, awali...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Sony wasitisha kutoa filamu ya komedi ‘The Interview’ iliyohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

Kampuni ya Sony Pictures Entertainment imesitisha kutoa filamu yake ya komedi, The Interview ambayo inazungumzia mkasa wa kutunga unaohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kusini, Kim Jong-un. Kampuni hiyo ilikuwa ifanye uzinduzi wa filamu hiyo siku ya Christmas lakini hackers walitishia kufanya shambulizi kama la 9/11 kwenye majumba ya sinema ambayo yangeionesha nchini Marekani. […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea kaskazini yafanya maadhimisho

Waride kubwa la kijeshi linafanyika nchini korea kaskazini kuadhimisa miaka 70 ya chama tawala cha Wokers Party

 

10 years ago

Michuzi

DEGE ECO - VILLAGE YAFANYA VYEMA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Kampuni ya Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco Village wameweza kushiriki vyema maonyesho ya maonesho 39 ya kimataifa ya sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo wa Dege Eco - Village, Bi. Catherine Mhina alisema kwamba Dege Eco Village wanafurahi sana kuweza kuwafikia watanzania wengi ambao walikuwa na shauku ya kujua huduma wanazo zitoa iki ni pamoja na kununua nyumba wanazojenga katika mradi wao."Tunashukuru Kila mmoja alikuwa akipita hapa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafanya jaribio la bomu

Hii ndio mara ya kwanza Korea Kaskazini imefanya majaribio ya bomu la nguvu ya maji {hydrogen}, majaribio ya awali hayakufanikiwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Mjomba wa kiongozi wa Korea anyongwa

Mjomba wa kiongozi wa Korea Kaskazini amenyongwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kupinga mapinduzi

 

5 years ago

CCM Blog

KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AJITOKEZA HADHARANI

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un hatimaye amejitokeza hadharani katika uzinduzi wa kiwanda cha mbolea Ijumaa Mei 1 baada ya uvumi kuhusu afya yake, limesema shirika la habari la serikali la KCNA.
Shirika la habari la KCNA limesema wafanyakazi katika kiwanda cha mbolea walianza ," kushangiliia kwa nguvu" wakimshangilia Kim, ambao shirika hilo lilisema , analiongoza taifa hilo katika mapambano ya ujenzi wa uchumi wa kujitegemea kutokana na "upepo mkali unaokuja" kutoka kwa "nguvu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Filamu ya Interview yatikisa mitandaoni

Kampuni ya Sony Picutues inasema kuwa - the interview imekuwa yenye mafanikio zaidi mitandaoni.

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KAAT) YAFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akiwakaribisha viongozi wa KAAT walipokwenda kumtembelea na kufanya nae mazungumzo nyumbani kwake. Katikati ni Rais Mpya wa KAAT, Bw. Stephen Katemba na Kulia ni Bw. Bukheti Juma ambaye ni Makamu wa Rais, KAAT (Zanzibar). Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (Kushoto) akifurahia jambo na viongozi wa KAAT, Bw. Stephen Katemba (Katikati) na Bw. Bukheti Juma (Kulia). Viongozi hao walipokwenda kumtembelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani