Filamu ya Mad Max: Fury Road yaongoza Choice Awards
Muigizaji Charlize Theron wa filamu ya Mad Max: Fury Road anayewania tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike.
Tom Hardy wa filamu ya Mad Max: Fury anayewania tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume.
Patrick Wilson anayewania tuzo ya Muigizaji Bora wa Filamu au Tamthilia.
FILAMU ya Mad Max: Fury Road imeongoza kwa kuteuliwa vipengele vingi zaidi ambavyo ni 13 kati ya 50 kuwania tuzo zijulikanazo kama “The 2016 Critics’ Choice Awards, tuzo zilizotangazwa jana Jumatatu.
Kwa upande wa vituo vya televisheni,...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Filamu ya MDUNDIKO na NETWORK, zachaguliwa kushiriki tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015 (AMVCAs)
Baada ya filamu yangu ya DOGO MASAI kushinda tuzo marekani sasa ni hii ya MDUNDIKO pamoja na NETWORK ya Kalage. Mashindano haya yanajumuisha filamu mbalimbali toka bara la Afrika. Filamu hizi zote mbili zipo katika category ya Best Indigenous Language – Swahili zikishindanishwa na filamu za Veve ya Sarika Hemi Lakhani (KENYA), Mama Duka ya Njoki Muhoho na Almasi ya Fredrick Odhiambo.
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Filamu 4 kutoka Proin Promotions zatinga kinyanganyiro cha Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016, wadau tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ps7GXx4WdN0/Vm6t0k7TcvI/AAAAAAAAjLM/0oSTwcT_ysI/s640/lulu.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-rgJkqYjDews/Vm6t0bf6CRI/AAAAAAAAjLI/0POYY3vONEQ/s640/mpango%2Bmbaya.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_TDy1l0cTDw/Vm6vEqxGNxI/AAAAAAAAjLY/f_8yAU0Of2A/s640/kitendawili.jpg)
Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE – EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.
Filamu zote nne zimeingia...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ps7GXx4WdN0/Vm6t0k7TcvI/AAAAAAAAjLM/0oSTwcT_ysI/s72-c/lulu.jpg)
Filamu Nne Kutoka Proin Promotions zaingia kwenye kinyanganyiro cha Africa Magic Viewers Choice Awards 2016, wadau tunaomba tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ps7GXx4WdN0/Vm6t0k7TcvI/AAAAAAAAjLM/0oSTwcT_ysI/s640/lulu.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-rgJkqYjDews/Vm6t0bf6CRI/AAAAAAAAjLI/0POYY3vONEQ/s640/mpango%2Bmbaya.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_TDy1l0cTDw/Vm6vEqxGNxI/AAAAAAAAjLY/f_8yAU0Of2A/s640/kitendawili.jpg)
5 years ago
The Guardian07 Mar
'It isn't Mad Max': Police warning after shoppers brawl over toilet paper in Sydney
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Z7tDediiPEE/Ux8Xaoi4U2I/AAAAAAAFS3g/a8E_CZg4m2c/s72-c/New+Picture+(18).png)
winners of the prestigious AfricaMagic Viewer’s Choice Awards
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z7tDediiPEE/Ux8Xaoi4U2I/AAAAAAAFS3g/a8E_CZg4m2c/s1600/New+Picture+(18).png)
Broadcast...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwpHC1naFUufDV6Irhi9EKkTjUo3Ny1qg9PP1nIW5McH9HpijIrGAhsi*edNLzt6XOGZ1qmrv0C83WMrxpc9WYW7/293D4AB7000005783105338imagem34_1433128999057.jpg)
WASHINDI WA TUZO ZA CRITICS' CHOICE TELEVISION AWARDS 2015
9 years ago
Bongo504 Nov
People’s Choice Awards 2016: Majina ya wanaowania upande wa muziki
![the-weeknd](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/the-weeknd-300x194.jpg)
Majina ya wanaowania tuzo za People’s Choice Awards 2016 yametangazwa Jumanne hii Nov.3.
Upande wa muziki miongoni mwa wasanii wenye nomination nyingi ni pamoja na The Weeknd anayeongoza kwa nominations tano. Wengine waliofanikiwa kuingia ni pamoja Taylor Swift , Drake, Justin Bieber, Madonna.
Tuzo hizo zitatolewa na kuoneshwa kupitia CBS January 6, 2016
Hii ni orodha ya wanaowania tuzo hizo upande wa muziki
Favorite Male Artist
Ed Sheeran
Justin Bieber
Luke Bryan
Nick Jonas
The...
9 years ago
Bongo522 Aug
Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Kansa ya kizazi yaongoza Ocean Road
IMEELEZWA kuwa kansa ya shingo ya kizazi ndiyo inayoongoza kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam. Mganga wa wagonjwa hao, Dk. Harison Chuwa,...