Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filikunjombe: Sitaki urais 2015

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

NA MWANDISHI WETU, LUDEWA

MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amesema katu hatamani kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Amesema bado anajiona anafaa zaidi katika nafasi ya ubunge na si urais kwani nafasi hiyo ya juu inahitaji ustahimilivu mkubwa, hasa kutokana na matumaini ya Watanzania kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hayo aliyasema juzi wilayani Ludewa, alipokuwa akizungumza katika misa ya kumuombea marehemu baba yake mzazi, Florian...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urais balaa 2015

MBIO za kusaka urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwaka 2015, zimeligawa taifa katika misingi ya ujana na uzee, Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Baadhi ya wanasiasa kutoka chama tawala na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha urais 2015

>Kadri uchaguzi mkuu unavyokaribia ndivyo makundi mbalimbali ya jamii yanavyoibuka kwa staili tofauti za kuwashawishi  baadhi ya makada ili watangaze nia ya kuwania urais ndani ya CCM.

 

10 years ago

GPL

NABII: URAIS 2015 BALAA!

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
NABII wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera amesema uchaguzi mkuu ujao utakuwa balaa kubwa kufuatia maono anayoyaona wakati akishiriki ibada katika nyakati mbalimbali, Risasi Jumatano linakupa mkanda kamili. Nbii wa Kanisa la The Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera. Akizungumza wakati wa ibada kanisani kwake na baadaye na...

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015 WASANII VIPANDE

Mwandishi Wetu
MPASUKO! Zikiwa zimesalia takriban siku 31 kabla ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha mgombea mmoja wa urais atakayechuana na vyama vya upinzani, imebainika kuwa mastaa wa filamu na Bongo Fleva wamegawanyika vipande huku wakiwa kwenye msuguano mkali kufanikisha ushindi wa makada Bernard Membe na Edward Lowassa, Risasi Mchanganyiko linapa mchapo kamili. Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe. WAJIPAMBANUA
...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye: Nitagombea urais 2015

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha rasmi kuwa atagombea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani