Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


URAIS 2015 WASANII VIPANDE

Mwandishi Wetu
MPASUKO! Zikiwa zimesalia takriban siku 31 kabla ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha mgombea mmoja wa urais atakayechuana na vyama vya upinzani, imebainika kuwa mastaa wa filamu na Bongo Fleva wamegawanyika vipande huku wakiwa kwenye msuguano mkali kufanikisha ushindi wa makada Bernard Membe na Edward Lowassa, Risasi Mchanganyiko linapa mchapo kamili. Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe. WAJIPAMBANUA
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba vipande vipande

Bunge Maalumu la Katiba, linaanza leo mjini hapa, huku kukiwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa wajumbe, unaotokana na misimamo tofauti.

 

10 years ago

Mtanzania

ACT-Tanzania vipande vipande

 

Pg 2

SHABANI MATUTU NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAM
NI wazi sasa hali ya mambo ndani ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) si shwari kutokana na chama hicho kuwa vipande vipande.
Hali hiyo imetokana na wajumbe wa Kamati Kuu kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu ambaye Desemba 30, mwaka jana, alitangaza kuwafukuza uanachama Katibu Mkuu wa muda, Samson Mwigamba, mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo na wajumbe wengine...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa vipande vipande Handeni

Wakati viongozi wa juu wa Ukawa wakizidi kuchanja mbuga katika majimbo mbalimbali nchini kusaka kura za urais kwa wananchi, CUF Wilaya ya Handeni mkoani Tanga imetangaza kuwaunga mkono wagombea udiwani wa ADC na ACT Wazalendo kwa madai kuwa Chadema imewasaliti kwa kukiuka makubaliano ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania vipande vipande

WAKATI serikali ikidai kuwa hati halali za Muungano zipo Umoja wa Mataifa (UN), umoja huo umeikana kwa kuweka wazi kuwa hakuna ushahidi wa jambo hilo. Taarifa zilizoifikia Tanzania Daima Jumapili...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wanogesha KiliFest 2015

kilifest Navy KenzoNA MWANDISHI WETU

TAMASHA la KiliFest limefanyika kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, huku wasanii wa muziki wa aina mbalimbali wakinogesha tamasha hilo.

Wasanii waliopanda jukwaani na kunogesha tamasha hilo kwa shoo zao kali ni Isha Mashauzi, Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Navy Kenzo, Fid Q, Ben Paul, Vanessa Mdee, Shettah na kundi la Weusi.

Tamasha hilo lilidumu takribani saa 18 baada ya kuanza saa nne asubuhi na kumalizika saa tisa na nusu...

 

11 years ago

Michuzi

WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015

Je muziki wako ni wa laivu? Je muziki wako umehusiana na Africa, Uarabuni au nchi za bahari hindi? Je umevutiwa kupiga muziki mwezi ujao wa Februari Zanzibar? Kama unaweza kujibu ndio, ndio, ndio - basi endelea kusoma... MWISHO...

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU 2015 WASANII BONGO WANAUZUNGUMZIAJE?

Laurent Samatta
Habari ya mjini kwa sasa ni Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015 ambapo Watanzania wote watatumia haki yao ya msingi ya kupiga kura, kuwachagua viongozi wanaowataka. Showbiz Plus imewatafuta wasanii wa tasnia tofauti Bongo na kuwauliza mtazamo wao juu ya uchaguzi huo na hali ya upepo wa kisiasa Bongo ambapo wamefunguka kama ifuatavyo: MRISHO MPOTO ‘MJOMBA’
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani