Wasanii wanogesha KiliFest 2015
NA MWANDISHI WETU
TAMASHA la KiliFest limefanyika kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, huku wasanii wa muziki wa aina mbalimbali wakinogesha tamasha hilo.
Wasanii waliopanda jukwaani na kunogesha tamasha hilo kwa shoo zao kali ni Isha Mashauzi, Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Navy Kenzo, Fid Q, Ben Paul, Vanessa Mdee, Shettah na kundi la Weusi.
Tamasha hilo lilidumu takribani saa 18 baada ya kuanza saa nne asubuhi na kumalizika saa tisa na nusu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Oct
KiliFest 2015 ilivyofana Dar
NA TUNU NASORO
UMAHIRI ulioonyeshwa na wasanii waliotumbuiza katika Tamasha jipya la KiliFest lililofanyika kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam umeonyesha dira na mwelekeo wa tamasha kubwa zaidi kwa
mwakani.
Tamasha hilo lililodumu takribani saa 18 baada ya kuanza saa nne asubuhi na kumalizika saa tisa na nusu alfajiri lilipokelewa kwa shahuku kubwa na Watanzania wapenda burudani ambao wengi wao walipongeza nia ya tamasha
hilo, ikiwemo kulipeleka mikoa mingi...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-VHNsNxajMgI/VfOlh6EWPbI/AAAAAAAADbk/fVBDZPuaL8s/s72-c/IMG_0495.jpg)
WASANII BONGO MOVIE WANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-VHNsNxajMgI/VfOlh6EWPbI/AAAAAAAADbk/fVBDZPuaL8s/s640/IMG_0495.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0arQuGDIGYo/VfOliFAF-EI/AAAAAAAADbo/ENJCUMcydKY/s640/IMG_0501.jpg)
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Tamasha la KiliFest kuzinduliwa kwa muziki wa ‘live’
NA JULIET MORI (TUDARCO)
VIWANJA vya Leaders Club kesho vinatarajiwa kuwaka moto wakati wasanii watakapokuwa wakitumbuiza katika uzinduzi wa tamasha jipya la KiliFest 2015, linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Ili tamasha hili la KiliFest liwe na hadhi kubwa, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, anasema limeandaliwa kwa umakini mkubwa, huku wasanii wakali na wenye majina makubwa nchini wakitarajiwa kulinogesha.
Wasanii wanaotarajiwa kupamba tamasha hilo...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Tamasha jipya la burudani la KiliFest kuzinduliwa Dar
NA FESTO POLEA
TAMASHA jipya la burudani la KiliFest linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 26, katika viwanja vya Leaders Club, ambapo idadi kubwa ya wasanii wa Bongo Fleva nchini watatumbuiza.
Tamasha hilo linakuwa la kwanza kwa Tanzania na litaanzia jijini Dar es Salaam, lakini kwa miaka ijayo litazunguka na mikoa mingine.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, alisema lengo la tamasha hilo ni kuwaleta Watanzania pamoja kupitia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQixNbxDVNsKHOg95GcyqHCq3dqcmHdHGDHLdfBm7PrPzBaSIKRts1QDbjcFDpFSfsDeWfpBhaq*ZWd-uHjvrecJ/11.jpg)
URAIS 2015 WASANII VIPANDE
11 years ago
Michuzi28 May
WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Kampeni ya wasanii kuhusu vijana na uchaguzi 2015
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT0Ig35w*KVE7ztxuxoSowY8EtDlhgx15k4oe6Ambc1nfvu9LWpMOHzFn-bZSVkOYjgQ1NW54XfkKstel4sZ8wiP/BACKMIZENGWE.jpg)
UCHAGUZI MKUU 2015 WASANII BONGO WANAUZUNGUMZIAJE?
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Wasanii hawa wamepeta Uchaguzi Mkuu 2015