KiliFest 2015 ilivyofana Dar
NA TUNU NASORO
UMAHIRI ulioonyeshwa na wasanii waliotumbuiza katika Tamasha jipya la KiliFest lililofanyika kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam umeonyesha dira na mwelekeo wa tamasha kubwa zaidi kwa
mwakani.
Tamasha hilo lililodumu takribani saa 18 baada ya kuanza saa nne asubuhi na kumalizika saa tisa na nusu alfajiri lilipokelewa kwa shahuku kubwa na Watanzania wapenda burudani ambao wengi wao walipongeza nia ya tamasha
hilo, ikiwemo kulipeleka mikoa mingi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKitchen Party ya Coletha Makuala ilivyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015
Coletha akiwa tayari kukata keki kwa furaha
Coletha akiwashukuru ndugu na jamaa kwa kufanikisha sherehe yake ya Kitchen Party livyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015
Mtoto kwa mama hakui
Kwa picha zaidi bofya Read More
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Wasanii wanogesha KiliFest 2015
NA MWANDISHI WETU
TAMASHA la KiliFest limefanyika kwa mara ya kwanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, huku wasanii wa muziki wa aina mbalimbali wakinogesha tamasha hilo.
Wasanii waliopanda jukwaani na kunogesha tamasha hilo kwa shoo zao kali ni Isha Mashauzi, Mapacha Watatu, Maua, Ruby, Damian Soul, Navy Kenzo, Fid Q, Ben Paul, Vanessa Mdee, Shettah na kundi la Weusi.
Tamasha hilo lilidumu takribani saa 18 baada ya kuanza saa nne asubuhi na kumalizika saa tisa na nusu...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Tamasha jipya la burudani la KiliFest kuzinduliwa Dar
NA FESTO POLEA
TAMASHA jipya la burudani la KiliFest linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 26, katika viwanja vya Leaders Club, ambapo idadi kubwa ya wasanii wa Bongo Fleva nchini watatumbuiza.
Tamasha hilo linakuwa la kwanza kwa Tanzania na litaanzia jijini Dar es Salaam, lakini kwa miaka ijayo litazunguka na mikoa mingine.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, alisema lengo la tamasha hilo ni kuwaleta Watanzania pamoja kupitia...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-1lGnYP_jxNg/VdLQGCvZMAI/AAAAAAAA4RE/cO4XcBeVnXU/s72-c/01.jpg)
EWURA FAMILY DAY ILIVYOFANA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-1lGnYP_jxNg/VdLQGCvZMAI/AAAAAAAA4RE/cO4XcBeVnXU/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_HdHdXUNxGI/VdLQQXa301I/AAAAAAAA4Rk/e7BPNtXH3pg/s640/DSC_0010.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DI39zGYJH24/VdLQI4LLJTI/AAAAAAAA4RM/p8y52T70GPY/s640/DSC_0024.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-EzPz13WIRwo/VdLQLqbA_kI/AAAAAAAA4RU/QkZDO7GH2Sw/s640/DSC_0053.jpg)
9 years ago
VijimamboSend off ya Coletha Makuala ilivyofana Virgimark Hotel, mjini Shinyanga, Tanzania siku ya July 4, 2015
Coletha Makuala na Sam Mfalila waishio Nashville, Tennessee (USA) wakiingia ukumbini kwenye Sendoff yao iyofanyika tarehe nne mwezi wa saba 2015 katika ukumbi wa Virgimark Hotel, Shinyanga, Tanzania
Coletha akiwa amepozi na mpambe wake ambaye pia ni mdogo wake, Jacklin Kahangwa baada ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya send off yake
Coletha akpata u kodak moment na mumewe mtarajiwa bwana Sam Mfalila ambao kwa sasa wote wanaishi...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
EWURA Family Day ilivyofana jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-1lGnYP_jxNg/VdLQGCvZMAI/AAAAAAAA4RE/cO4XcBeVnXU/s640/01.jpg)
Watoto wa familia za wafanyakazi wa wakishindana kukimbiaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Ewura kufurahi pamoja na familia zao (Ewura Family Day) kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Ewura wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao.
![](http://4.bp.blogspot.com/-_HdHdXUNxGI/VdLQQXa301I/AAAAAAAA4Rk/e7BPNtXH3pg/s640/DSC_0010.jpg)
Wakiwa katika mchezo wa Wavu.
![](http://2.bp.blogspot.com/-DI39zGYJH24/VdLQI4LLJTI/AAAAAAAA4RM/p8y52T70GPY/s640/DSC_0024.jpg)
Wakishindana kukimbia huku wakiwa kwenye magunia.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EzPz13WIRwo/VdLQLqbA_kI/AAAAAAAA4RU/QkZDO7GH2Sw/s640/DSC_0053.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix...
10 years ago
VijimamboTBL FAMILY DAY ILIVYOFANA BAHARI BEACH DAR
10 years ago
GPLSHOO YA MRS. MABESTE ILIVYOFANA NEW MAISHA CLUB DAR!
10 years ago
GPL20 Jul