SHOW YA MADEE ILIVYOFANA DAR LIVE, IDD MOSI
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Madee-crop-1.gif)
IDD MOSI HII DAR LIVE | MADEE, NATURE, MZEE YUSUF KUWASHA MOTO
Hamad Ally' Madee' WAFALME kunako Hip Hop na Taarab, Hamad Ally ‘Madee’, Juma Kassim ‘Nature’ pamoja na Mzee Yusuf wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo Idd Mosi hii ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. Mastaa hao walizungumza na Uwazi Mizengwe kuhusiana na shoo hiyo ambapo kila mmoja aliahidi kufanya makubwa ambayo hayajawahi kutokea katika tasnia ya...
10 years ago
GPLMSHINDO WA HIP HOP-TAARAB DAR LIVE IDD MOSI, HAPA MADEE, PALE JUMA NATURE
Rais wa Manzese ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’. Mwandishi Wetu
Dar es SalaamI
MESALIA wiki moja na siku kadhaa kufikia Sikukuu ya Idd Mosi ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kutafuka moshi wa burudani kwa mastaa kibao wa muziki wa Hip Hop na Taarab kutumbuiza. Mkali wa Bongo Fleva, Juma Kasim ‘Juma Nature’. Akizungumza na...
10 years ago
GPL20 Jul
10 years ago
GPLJUMA NATURE AFUNIKA IDD MOSI DAR LIVE
Mfalme wa Hip Hop na Juma Kassim ‘Nature’ akingusha bonge la shoo Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar usiku huu. (PICHA: RICHARD…
10 years ago
GPLWATOTO WALIVYOKULA BATA IDD MOSI DAR LIVE
Watoto wakionekana wenye furaha, huku wakiendesha baiskeli kwenye ukumbi huo. Watoto wakipanda katika picha ya ndege iliyopo ndani ya ukumbi huo wa burudani.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaaomBl12l8MzZW83sT7hC2Re9zJihYWaroNEKaflFb3iz3gDqXF2H67ejQiuUb7x40GqHvwKBZlCdLxc4z13FIja/89wikienda.jpg?width=750)
10 years ago
GPLMSAGA SUMU AIPAMBA SHOO YA IDD MOSI DAR LIVE
Mwanamuziki Msaga Sumu akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Idd Mosi usiku huu. Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu.…
11 years ago
GPLJAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI
Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live. Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji…
10 years ago
GPL14 Jul
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania