ACT-Tanzania vipande vipande
SHABANI MATUTU NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAM
NI wazi sasa hali ya mambo ndani ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) si shwari kutokana na chama hicho kuwa vipande vipande.
Hali hiyo imetokana na wajumbe wa Kamati Kuu kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu ambaye Desemba 30, mwaka jana, alitangaza kuwafukuza uanachama Katibu Mkuu wa muda, Samson Mwigamba, mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo na wajumbe wengine...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Tanzania vipande vipande
WAKATI serikali ikidai kuwa hati halali za Muungano zipo Umoja wa Mataifa (UN), umoja huo umeikana kwa kuweka wazi kuwa hakuna ushahidi wa jambo hilo. Taarifa zilizoifikia Tanzania Daima Jumapili...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Bunge la Katiba vipande vipande
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Ukawa vipande vipande Handeni
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Bunge la Katiba vipande
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-3xum_TtkBzQ/XlZA1DJLWdI/AAAAAAACzgE/iMcqZRN0GJkRTAQin7S4yqh4ZUn4aJPywCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
CHADEMA YAZIDI KUMEGUKA VIPANDE
![](https://1.bp.blogspot.com/-3xum_TtkBzQ/XlZA1DJLWdI/AAAAAAACzgE/iMcqZRN0GJkRTAQin7S4yqh4ZUn4aJPywCLcBGAsYHQ/s640/1.png)
Aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi/ Uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chama Cha demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Edward Simbeye Leo February 26, 2020 ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa kile alichokisema kutokuunga mkono baadhi ya mambo yanayoendelea ndani ya chama hicho cha Chadema na kwamba kwa sasa anatafakari chama gani cha kujiunga.
Sembeye amesema moja ya vitu vinavyokiumiza chama hicho, ni chama kuendeshwa kwa amri na matakwa ya Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQixNbxDVNsKHOg95GcyqHCq3dqcmHdHGDHLdfBm7PrPzBaSIKRts1QDbjcFDpFSfsDeWfpBhaq*ZWd-uHjvrecJ/11.jpg)
URAIS 2015 WASANII VIPANDE
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Akamatwa na vipande 21 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi limemkamata mtu mmoja mkazi wa Mwamagembe, Itigi wilayani Manyoni, Singida, George James (30) na vipande 21 vya meno ya tembo akiwa njiani kuvisafirisha. Kamanda wa Polisi mkoani humo (SACP)...
11 years ago
MichuziADAKWA NA VIPANDE 28 VYA MENO YA TEMBO
Na John Gagarini, Kibaha
MKAZI wa Ruaha mkoani Morogoro Sibeteli (34) anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo ambavyo ni nyara za serikali.
Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa ameyahifadhi meno hayo ndani ya gari aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 129 ARH.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi (ACP) Steven Kiango alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 22 mwaka huu...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Matatani kwa vipande 28 vya meno ya tembo
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Anania Sibeteli (34) kwa tuhuma za kukutwa na vipande 28 vya meno ya tembo kinyume cha sheria. Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ruaha, mkoani...