Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA YAZIDI KUMEGUKA VIPANDE


  Aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi/ Uhamasishaji  wa Baraza la Vijana la Chama Cha demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Edward Simbeye Leo  February 26, 2020 ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa kile alichokisema kutokuunga mkono baadhi ya mambo yanayoendelea ndani ya chama hicho cha Chadema na kwamba kwa sasa anatafakari chama gani cha kujiunga.
Sembeye amesema moja ya vitu vinavyokiumiza chama hicho, ni chama  kuendeshwa kwa amri na matakwa ya  Freeman Mbowe ambaye ni  mwenyekiti wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Chadema Bunda yazidi kumeguka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kinazidi kubomoka, baada ya aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini, Pius Masuruli, kukihama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitangaza wazi kumuunga mkono Stephen Wasira.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM yazidi kumeguka

WAKATI joto uchaguzi wa Serikari za Mitaaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14,mwaka huu, likipamba moto, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kumeguka baada ya Mwenyekiti wa mtaa wa Matela kata ya Nyanguge,...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba vipande vipande

Bunge Maalumu la Katiba, linaanza leo mjini hapa, huku kukiwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa wajumbe, unaotokana na misimamo tofauti.

 

10 years ago

Mtanzania

ACT-Tanzania vipande vipande

 

Pg 2

SHABANI MATUTU NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAM
NI wazi sasa hali ya mambo ndani ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) si shwari kutokana na chama hicho kuwa vipande vipande.
Hali hiyo imetokana na wajumbe wa Kamati Kuu kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu ambaye Desemba 30, mwaka jana, alitangaza kuwafukuza uanachama Katibu Mkuu wa muda, Samson Mwigamba, mshauri wa chama hicho, Profesa Kitila Mkumbo na wajumbe wengine...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa vipande vipande Handeni

Wakati viongozi wa juu wa Ukawa wakizidi kuchanja mbuga katika majimbo mbalimbali nchini kusaka kura za urais kwa wananchi, CUF Wilaya ya Handeni mkoani Tanga imetangaza kuwaunga mkono wagombea udiwani wa ADC na ACT Wazalendo kwa madai kuwa Chadema imewasaliti kwa kukiuka makubaliano ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania vipande vipande

WAKATI serikali ikidai kuwa hati halali za Muungano zipo Umoja wa Mataifa (UN), umoja huo umeikana kwa kuweka wazi kuwa hakuna ushahidi wa jambo hilo. Taarifa zilizoifikia Tanzania Daima Jumapili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yazidi kuvuna CCM

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), 54 akiwemo Mwenyekiti wa kijiji cha Pemba wilayani Tarime Mkoa wa Mara, Augustino Wantora, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA). Wanachama hao...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema yazidi kuikalia kooni NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Chadema inawasumbua kutokana na madai yao ya mara kwa mara, lakini chama hicho kikuu cha upinzani hakijakoma; kimeitaka Tume kujibu mambo matano kuhusu Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

GPL

CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani