Chadema yazidi kuikalia kooni NEC
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Chadema inawasumbua kutokana na madai yao ya mara kwa mara, lakini chama hicho kikuu cha upinzani hakijakoma; kimeitaka Tume kujibu mambo matano kuhusu Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Sumatra yaendelea kuikalia kooni Uda
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
TFF yazidi kukaliwa kooni
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezidi kushushiwa lawama na wanachama wa Simba kwa walichokiita ‘kumkumbatia’ Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’....
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
CHADEMA yamkalia kooni Meya Silaa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku 21 Diwani wa Ukonga, Jerry Silaa, kutoa maelezo ziliko fedha za ujenzi wa ofisi ya kata zaidi ya sh. milioni 175. Chama...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
CHADEMA yazidi kuvuna CCM
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), 54 akiwemo Mwenyekiti wa kijiji cha Pemba wilayani Tarime Mkoa wa Mara, Augustino Wantora, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA). Wanachama hao...
9 years ago
Habarileo30 Aug
Chadema Bunda yazidi kumeguka
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kinazidi kubomoka, baada ya aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini, Pius Masuruli, kukihama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akitangaza wazi kumuunga mkono Stephen Wasira.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-3xum_TtkBzQ/XlZA1DJLWdI/AAAAAAACzgE/iMcqZRN0GJkRTAQin7S4yqh4ZUn4aJPywCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
CHADEMA YAZIDI KUMEGUKA VIPANDE
![](https://1.bp.blogspot.com/-3xum_TtkBzQ/XlZA1DJLWdI/AAAAAAACzgE/iMcqZRN0GJkRTAQin7S4yqh4ZUn4aJPywCLcBGAsYHQ/s640/1.png)
Aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi/ Uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chama Cha demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Edward Simbeye Leo February 26, 2020 ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA, kwa kile alichokisema kutokuunga mkono baadhi ya mambo yanayoendelea ndani ya chama hicho cha Chadema na kwamba kwa sasa anatafakari chama gani cha kujiunga.
Sembeye amesema moja ya vitu vinavyokiumiza chama hicho, ni chama kuendeshwa kwa amri na matakwa ya Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRAT4DAiPkgp1*sAFEJEzgrED1HSpcFIsmEHrHbi-ZscyJl9NRnTL-ZoPXHfX83hcq2hx7rKCJ6J-kc3U1iCy-1cH/MakamukuhutubiaMiono.jpg?width=650)
CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE
10 years ago
GPLCHADEMA YAZIDI KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Aug
Chadema yaituhumu Nec.
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea. Chadema yaituhumu Nec. NA ELIZABETH ZAYA 24th August 2015 Mgombea Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Ubungo, Saed […]
The post Chadema yaituhumu Nec. appeared first on Mzalendo.net.