Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumatra yaendelea kuikalia kooni Uda

>Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo  wametakiwa kutoa taarifa kwa Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Majini na Nchi Kavu (Sumatra) pindi watakapotumia usafiri wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) yasiyokuwa na vibao vinavyoonyesha  njia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema yazidi kuikalia kooni NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Chadema inawasumbua kutokana na madai yao ya mara kwa mara, lakini chama hicho kikuu cha upinzani hakijakoma; kimeitaka Tume kujibu mambo matano kuhusu Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UDA yaitesa Sumatra

MAMLAKA ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kipindi hiki linawapa wakati mgumu kutokana na kushindwa kutii taratibu zilizowekwa barabarani. Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yaing’ang’ania Uda

>Mabasi mengine 25 ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), yamekamatwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini na Baharini (Sumatra), kutokana na kuendelea kukaidi amri ya kuwataka wafuate sheria za usafirishaji wa abiria jijini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumatra yasisitiza UDA kufuata sheria

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesisitiza Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) kutakiwa kufuata taratibu zote za usafirishaji kama ilivyo kwa daladala nyingine....

 

11 years ago

Mwananchi

USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli

>Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetoa amri kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam kutoza viwango sawa vya nauli  kama vinavyotozwa na daladala za kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyosso akaliwa kooni

Wadau mbalimbali wa soka nchini wameonyesha kuchukizwa na kitendo cha beki, Juma Nyosso kumdhalilisha mshambuliaji, John Bocco katika pambano kati ya Azam na Mbeya City lililofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini juzi.

 

10 years ago

Habarileo

CAG aikalia kooni Serikali

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadMDHIBITI na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, ameamua kuiorodheshea Serikali mapendekezo yote ya mtangulizi wake, Ludovic Utouh, ambayo hayajatekelezwa na Serikali tangu 2008 na kusisitiza sasa yatekelezwe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yazidi kukaliwa kooni

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezidi kushushiwa lawama na wanachama wa Simba kwa walichokiita ‘kumkumbatia’ Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’....

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yaikalia kooni Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)limesema kuwa litaichukulia hatua za kinidhamu Yanga iwapo itabainika kuwa ilivunja kanuni za Ligi Kuu katika michezo yake miwili iliyopita dhidi ya Simba na Stand United.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani