Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fomu Serikali za mitaa utata

WAKATI fomu za kugombea ujumbe wa Serikali za Mitaa zikianza kutolewa rasmi jana, zimelalamikiwa na vyama vya siasa kwamba maelezo yake yanatatanisha hususani kifungu cha 21 na 22, ambako mgombea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI


Michael Mgungusi (Chadema) akionyesha fomu yake. Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga (kulia) akipokea fomu ya kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu. 

 Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga akisaini fomu zake huku Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu akishuhudia.
 Yohana Mmbaga akionyesha fomu yake.

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

 Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Serikali za Mitaa kilicho chini ya Taasisi ya Policy Forum,Bw. Hebron Mwakageda (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji kufanyika mwaka huu.Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Policy Forum,Bw. Israel Ilunde akifafanua jambo wakati mkutano huo na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutoa tamkoa lao la Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotaraji...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

10 years ago

StarTV

Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

Na, Winifrida Ndunguru

Dar Es Salaam.

15 December 2014

 

 

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.

 

 

Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

      Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.


Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu namna Serikali  inavyoshughulikia madai ya watumishi walio katika Serikali za Mitaa wasio walimu. Na Magreth   Kinabo-maelezoSERIKALI  imetenga  kiasi cha fedha cha  Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya  Watumishi wa Mamlaka za Serikali za  Mitaa(TALGWU) na  Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni  ya yasiyohusu mishahara,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumba ya serikali ilivyozua utata

NYUMBA ya serikali iliyouzwa kwenye mnada kwa kiasi cha sh milioni 250 kwa amri ya Mahakama ya Wilaya ya Mbeya na kupingwa, Mahakama Kuu haifahamu fedha hizo mahali zilipohifadhiwa. Licha...

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa Serikali waingia utata

Wakati sekta ya afya ikikabiliwa na upungufu wa wataalamu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesitisha ajira za wataalamu 204 wa maabara walioajiriwa mwishoni mwa mwaka jana kwa madai kuwa hawana vigezo vya kufanya kazi katika maabara za binadamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyumba za Serikali zazua utata

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya imegundua viwanja na nyumba zaidi ya 10 za Serikali zikitumiwa na watu binafsi katika mazingira ya kutatanisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani