UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI
Michael Mgungusi (Chadema) akionyesha fomu yake. Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga (kulia) akipokea fomu ya kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu.
Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga akisaini fomu zake huku Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu akishuhudia.
Yohana Mmbaga akionyesha fomu yake.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Fomu Serikali za mitaa utata
WAKATI fomu za kugombea ujumbe wa Serikali za Mitaa zikianza kutolewa rasmi jana, zimelalamikiwa na vyama vya siasa kwamba maelezo yake yanatatanisha hususani kifungu cha 21 na 22, ambako mgombea...
5 years ago
Michuzi10 May
ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA MRADI WA LNG LINDI LASHIKA KASI
Mradi huo ambao unagusa Mitaa mitatu ya Likong’o, Masasi ya Leo na Mto Mkavu unachukua eneo lenye ukubwa wa hekta 2,071.7, ambapo Serikali imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 5.2 kwa ajili ya kufidia wanachi 693 ambao wanaguswa na mradi huo.

11 years ago
Mwananchi13 Mar
Mbwembwe zatawala urejeshaji fomu Chalinze
11 years ago
Michuzi
SHINDANO LA VODACOM DANCE 100 LAPAMBA MOTO LASHIKA KASI JIJINI DAR


11 years ago
Michuzi09 Oct
Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni Oktoba 10

WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda.
Akizungumzia zoezi hilo jana mchana, Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Erick Mchome aliwataka vijana waliochukua fomu zao kuzirejesha mapema ili kujipatia...
11 years ago
Vijimambo10 Oct
Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni leo




Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa leo majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. Akizungumzia zoezi hilo juzi mchana,...
11 years ago
Michuzi
TAARIFA KWA UMMA- UREJESHAJI FOMU ZA TAMKO LA MALI NA MADENI

10 years ago
GPL