ZOEZI LA ULIPAJI FIDIA MRADI WA LNG LINDI LASHIKA KASI
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imeanza kutekeleza zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao wanaguswa na mradi wa uchakataji na usindikaji wa gesi asilia (LNG) Mkoani Lindi.
Mradi huo ambao unagusa Mitaa mitatu ya Likong’o, Masasi ya Leo na Mto Mkavu unachukua eneo lenye ukubwa wa hekta 2,071.7, ambapo Serikali imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 5.2 kwa ajili ya kufidia wanachi 693 ambao wanaguswa na mradi huo. Eneo ambalo kiwanda cha LNG kinatarajiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI
Michael Mgungusi (Chadema) akionyesha fomu yake.
Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga akisaini fomu zake huku Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu akishuhudia.
Yohana Mmbaga akionyesha fomu yake.
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Ashauri kubadili mfumo ulipaji fidia ya ardhi
11 years ago
Michuzi
SHINDANO LA VODACOM DANCE 100 LAPAMBA MOTO LASHIKA KASI JIJINI DAR


9 years ago
Michuzi
MRADI WA VETA, VSO NA LNG TANZANIA WASHINDA TUZO YA BRITISH GAS



10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI MKOANI LINDI,AWAAGA WANANCHI WA LINDI



9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Waziri Mkuu aitaka TPA kupitia upya zoezi la fidia kwa wananchi wa Kigoma
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari. (Picha na Emmanuel Senny).
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya...
11 years ago
Dewji Blog26 Jun
Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.
Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...
10 years ago
Michuzi16 Feb
Zoezi la uandikishaji vijana kuingia NSSF Real Madrid Sports Academy lazidi kushika kasi
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kushirikiana na klabu maarufu duniani ya mpira wa miguu ya Real Madrid ya Hispania, leo imeendelea na zoezi lake la usajili wa vijana walio na umri wa chini ya miaka 14 watakaofanyiwa majaribio kwa ajili ya kujiunga na kituo cha michezo cha NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY katika uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, huku idadi ya vijana wanaojisajili ikiongezeka.
Mchakato huo wa usajili ulianza Oktoba 14 lakini leo idadi...
11 years ago
Habarileo20 May
Wawekezaji wa mradi wa mabasi ya kasi kukutana
RAIS Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi ya Haraka (DART), utakaowakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10