Uamuzi wa Serikali waingia utata
Wakati sekta ya afya ikikabiliwa na upungufu wa wataalamu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesitisha ajira za wataalamu 204 wa maabara walioajiriwa mwishoni mwa mwaka jana kwa madai kuwa hawana vigezo vya kufanya kazi katika maabara za binadamu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV08 Jan
Watendaji wa Serikali Ulanga waingia lawamani.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Ulanga-Morogoro.
Kanisa katoliki jimbo la Ulanga mkoani Morogogo limeeleza kusikitishwa na hatua ya watendaji wa Serikali wilayani humo kuingilia maeneo yanayomilikiwa kisheria na kanisa hilo na kuamua kujenga makazi ya kudumu.
Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Ulanga Mhashamu Josephat Ndirobo alitoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe kwenye mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na wa kisiasa.
Mkuu...
11 years ago
Mwananchi21 May
Serikali ifanye uamuzi mgumu, ibane matumizi
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Utata wa Serikali kwa IPTL
WAKATI Harbinder Sing Sethi, anadai alinunua asilimia 70 ya hisa za Mechmar kwa kiasi cha sh. milioni 500 ($300,000) ndani ya wiki tatu tu tangu hisa hizo kuuzwa kwa kampuni...
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Nyumba za Serikali zazua utata
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Nyumba ya serikali ilivyozua utata
NYUMBA ya serikali iliyouzwa kwenye mnada kwa kiasi cha sh milioni 250 kwa amri ya Mahakama ya Wilaya ya Mbeya na kupingwa, Mahakama Kuu haifahamu fedha hizo mahali zilipohifadhiwa. Licha...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Fomu Serikali za mitaa utata
WAKATI fomu za kugombea ujumbe wa Serikali za Mitaa zikianza kutolewa rasmi jana, zimelalamikiwa na vyama vya siasa kwamba maelezo yake yanatatanisha hususani kifungu cha 21 na 22, ambako mgombea...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Serikali ya Muungano bila Magereza utata mwingine
MJADALA juu ya uundwaji wa katiba mpya unaendelea kushika kasi baada ya rasimu ya pili kuwasilishwa serikalini Desemba 30, 2013. Kama nilivyosema katika toleo lililopita, kwamba suala la muundo wa...
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Utata kuhusu ukubwa/udogo wa serikali, madaktari na maprofesa
KWA mwendo wa taratibu, Rais John Magufuli ameendelea kukamilisha barala la mawaziri atakalofanya
Jenerali Ulimwengu
10 years ago
MichuziUCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI