Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FREEMASONS WAPYA WAIBUKA, WAJIBADILISHA UTAMBULISHO!

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita nilieleza uhusiano mkubwa uliokuwepo kati ya Freemasonry ya kale na masuala ya uchawi waliokuwa wakiujua wenyewe tangu zamani. Mambo hayo yote yameelezwa katika Kitabu cha Nehemia kwenye Torati ya Biblia ya Agano la Kale.SASA ENDELEA... Kilipita kipindi kirefu baada ya Torati hadi mwaka 1717, walipoibuka Freemasons wapya ambao walijitokeza tena nchini Uingereza wakiwa wengi na nguvu zaidi....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Prof Muhongo aongoza kikao cha utambulisho wa viongozi wapya wa Wizara ya Nishati na Madini

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa akizungumza jambo wakati wa kikao cha utambulisho wa viongozi wapya wa Wizara. Kikao hicho kimeshirikisha Menejimenti ya Wizara, Taasisi zilizo chini ya Wizara zikiwemo Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania (TPDC), Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA), Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST), Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Chuo cha Madini Dodoma (MRI)...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Rwanda na Norway hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mpya wa Rwanda hapa nchini, Mhe. Eugen Sayore Kayihura. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ofinini kwa Mhe. Membe tarehe 08 Septemba, 2014. Waziri Membe akizungumza na Balozi Kayihura mara baada ya kuwasilisha Nakala za hati za utambulisho. Katika mazungumzo hayo Mhe. Membe alimhakikishia ushirikiano Balozi huyo na kumwomba awe huru katika kutekeleza majukumu yake ya kazi...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Kuwait,Malawi,Kenya na Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Malawi hapa nchini Mhe.Hawa Ndilowe leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Balozi mpya wa Afrika Kusini hapa nchini Mhe.Thamsanqa Dennis Msekelu...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

10 years ago

GPL

UHUSIANO WA FREEMASONS NA MUNGU

Mpenzi msomaji wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea uhusiano uliokuwepo baina ya falsfa ya siri ya makuhani wa Misri ya kale na Freemasons wa leo. Utawala wa Misri ya kale ambao unachukuliwa kama utawala wa kisiasa uliomkana Mungu, ulitoweka maelfu ya miaka iliyopita. Je, utawala huo waweza kuwa na athari zozote hivi leo?SONGA NAYO… Katika Kitabu cha Freemasons wenyewe cha The Hiram Key kilichoandikwa na...

 

9 years ago

GPL

UHUSIANO WA FREEMASONS NA UCHAWI

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea ni kwa nini Wana wa Israeli walikuwa na msimamo wa ukaidi kiasi cha kujifanyia masanamu na kuyaabudu? Ni nini chanzo cha mwelekeo huu? Je, kuna mkono wa Freemasons?SONGA NAYO… Tunapoichunguza jamii ya Freemasonry kwa undani na kwa kuzingatia kumbukumbu za historia, tunaona kuwa itikadi ya kipagani iliyowaathiri Waisraeli, ilikuwa ni ile ya Misri ya kale...

 

9 years ago

GPL

ALAMA ZINAZOTUMIWA NA FREEMASONS


Mpenzi msomaji wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikizungumzia vikao vya Freemasons ambapo huwa mwenyekiti wao wanamwita Master na anakuwa na wasaidizi wawili. Kwenye ibada zao mwenyekiti huwa anakaa upande wa Mashariki, msaidizi mmoja anakaa mbele yake akimtazama na mwingine anasaidia shughuli nzima inayoendelea. Kunakuwa na mtu mwingine ambaye ndiye mwongozaji wa sala na wakati wakisali huwa Mungu wanamwita Fundi Mkuu...

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 3

Mpenzi msomaji, baada ya utambulisho juu ya hawa jamaa ni akina nani, wiki iliyopita nilianza kuangalia chimbuko lao. Nilieleza namna Freemasons walivyokuwa wakijenga mahekalu na kujumuika humo wakisimikana katika madaraja ya kimasoni, zama hizo kulikuwa na madaraja matatu tu, yaani Apprentices (wanafunzi wa mwanzo), Journeymen (wanafunzi wa kati kuelekea kuiva) na Grandmaster (waliofuzu). SASA ENDELEA… Kuchimba na kusoma...

 

10 years ago

GPL

HILI NDILO CHIMBUKO LA FREEMASONS - 2

Mpenzi msomaji wiki iliyopita nilidokeza kuwa katika simulizi hii nitahakikisha najibu maswali yote ambayo yamekuwa yakiulizwa sana na wasomaji.
SASA ENDELEA… Je, mtu anawezaje kujiunga nao na kwamba kuna ukweli kuwa atapata utajiri kwa kufumba na kufumbua macho? Je, ni masharti au vigezo gani ambavyo lazima uvitimize ndiyo ujiunge nao? Fomu za kujiunga zinapatikanaje na wapi? Je, wana makao yao hapa nchini au Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani