Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FROLAH MVUNGI ANASA UJAUZITO WA PILI

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Frolah Mvungi amenasa ujauzito wa pili baada ya kumzaa mtoto wake wa kwanza aitwaye Tanzanite aliyemzaa na mumewe H Baba miaka kadhaa iliyopita. Kupitia Instagram mashabiki wake wamempongeza baada ya kupata ujauzito:


serda_sherby Jamani mashaallah Allah akujaalie ujifungue salama we ni mfano Wa kuigwa unaitendea haki ndoa yako

mahmoodmariam @florahmvungi mm nakupenda tu mwaya zaa ndugu wache wanao toa mimba kisa kuzeeke cjui mamazao wamezeka kwa ajili ya kuzaa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mtoto wa Frolah Mvungi,Tanzanite Acheza Filamu Kama ‘Albino’

Mtoto wa msanii wa Bongo Fleva,H Baba na mwigizaji wa Bongo Movie,Frolah Mvungi,Tanzanite amecheza filamu kama mhusika mkuu.

Akizungumza na Clouds FM, H Baba alisema kuwa katika filamu hiyo ambayo hajaitaja jina Tanzanite amecheza kama mtoto aliyetekwa na watu waliodhania kuwa mtoto huyo ni mlemavu wa ngozi ‘Albino’.

‘’Mimi na Frolah tumecheza kwenye filamu hiyo na Tanzanite kama mtoto wetu amecheza nafasi nne kwenye filamu hiyo kuna watu wanamteka mtoto wangu wakidhani kuwa ni albino...

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya Frolah Mvungi kujifungua,ajipanga kuachia filamu mbili

Baada ya kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Afrika,mwigizaji wa filamu za Kibongo,Florah Mvungi amejipanga kuachia filamu mbili kwa mpigo.

Mume wa msanii huyo,msanii H.Baba akizungumza kwa niaba ya mkewe alisema kuwa kwa sasa yeye na mkewe ni muda wao wa kufanya kazi kwani wana mpango wa kuachia filamu mbili mpya kwa mpigo ambazo hajazitaja jina.

‘Unajua tulipanga tuzae watoto wawili tunashukuru mipango yetu imetimia sasa ni muda wa kufanya kazi,nitaachia ngoma yangu mpya hivi karibuni na...

 

9 years ago

GPL

JOKATE ANASA UJAUZITO!

Hamida hassan NA Brighton Masalu
Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku muhusika mkuu wa mzigo huo akidaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa, Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’. Mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo....

 

9 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena na mazito na Ijumaa. Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond -Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani? -Unataka kufahamu undani wake? Mme wa mtu afanya mambo ya aibu -Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje? Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku -Ni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Muhula wa pili wa ujauzito (Wiki 13-26)

TUANZE makala ya leo na kishtua mada  kwa kuwasikiliza washkaji wawili. Mshikaji 1: Maisha ni kama kitabu kikubwa cha hadithi. Kila siku unapoamka unafungua ukurasa mpya. Wewe unajua idadi ya...

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Frolah Mathew: Watoto wa mitaani wananikosesha raha

“HAKUNA kitu kinachoniuma kama kuona watoto wakiteseka mitaani huku viongozi na jamii tunaendelea kukaa kimya na kuona ni jambo la kawaida machoni mwetu. “Hakuna jambo linaloumiza nikiwa kama mzazi, kuona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani