Mtoto wa Frolah Mvungi,Tanzanite Acheza Filamu Kama ‘Albino’
Mtoto wa msanii wa Bongo Fleva,H Baba na mwigizaji wa Bongo Movie,Frolah Mvungi,Tanzanite amecheza filamu kama mhusika mkuu.
Akizungumza na Clouds FM, H Baba alisema kuwa katika filamu hiyo ambayo hajaitaja jina Tanzanite amecheza kama mtoto aliyetekwa na watu waliodhania kuwa mtoto huyo ni mlemavu wa ngozi ‘Albino’.
‘’Mimi na Frolah tumecheza kwenye filamu hiyo na Tanzanite kama mtoto wetu amecheza nafasi nne kwenye filamu hiyo kuna watu wanamteka mtoto wangu wakidhani kuwa ni albino...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania