Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fundi Samweli awaonya wasanii

MTAYARISHAJI wa kimataifa wa muziki wa Bongo Fleva, raia wa Sweeden, Fundi Samweli, amewataka wasanii wa Tanzania, kutopoteza radha halisi ya muziki wa bongo fleva pindi wanapotengeneza kazi zao. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MHE. SAMWELI NTAMBALA LWANGISA AZIKWA MJINI BUKOBA

Na Faustine Ruta, BukobaMamia ya Wakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa jana Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.Mbunge wa Muleba Kusini Prof...

 

9 years ago

Mtanzania

Priscilla Samweli ndiye Miss Albino Kanda ya Dar es Salaam

MISS ALBINONA GEORGE KAYALA

MREMBO kutoka Chanika, Priscilla Samweli (22) aliyenyakua taji la Miss Albino 2015 Kanda ya Dar es Salaam, juzi amekuwa mshiriki wa kwanza kusubiri washindi wengine watakaoshindanishwa katika kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Albino Tanzania.

Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, alisema shindano hilo linalofanyika kikanda, awamu ya kwanza imeanza kanda ya Dar es Salaam na Priscilla ameibuka mshindi, hivyo atapambanishwa na warembo wengine watakaopatikana katika kanda...

 

10 years ago

Michuzi

MAZISHI YA MWANDISHI WATBC SAMWELI CHAMULOMO MJINI DODOMA LEO

a  Mke wa Waziri mkuu,Mama tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Chiku Galawa akitoa heshima za mwisho kwa  marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na waombolezaji wengine wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WAJITOKEZA KATIKA MAZIKO YA MWANDISHI WA TBC SAMWELI CHAMULOMO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015.Mke wa Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWELI NTAMBALA LWANGISA WAPOKELEWA BUKOBA, MAJONZI YATANDA KWA WANABUKOBA.

Gari maalum kutoka Nchini Uganda lililobeba Mwili wa Mzee Samwel Ntambala Lwangisa ukiingia Bukoba. Na Faustine Ruta, Bukoba
Mwili wa Marehemu Samuel Ntambala Luangisa uliwasili usiku wa kumkia leo katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Mauti yalimkuta akiwa Nchini Marekani na maziko yake itakuwa kesho jumatano june 3,2015. Wakati wa Uhai wake Marehe Samwel Luangisa aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kagera (ukiitwa ziwa magharibi), Aliwahi pia kuwa mbunge wa Bukoba Mjini, Meya...

 

10 years ago

Michuzi

FUNDI KAZINI....

Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani