Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Furaha na huzuni mahujaji wakirejea Tanzania

Tanzania ni mojawapo ya nchi barani Afrika zenye idadi kubwa ya watu ambao bado hawafahamiki walipo baada ya kutokea mkanyagano Mecca, Saudi Arabia. Hadi sasa watu 6 inajulikana walipoteza maisha.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 50 kutoka Tanzania wapotea

WAKATI Waislamu kote duniani wakiwa katika simanzi kuu kutokana na vifo vya mahujaji zaidi ya 700 katika mji mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia, imethibitika kuwa zaidi ya mahujaji 50 wa Tanzania, hawajulikani walipo.

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji zaidi wa Tanzania waliokufa watambulika

MA H U J A J I wengine w a n n e w a Tanzania waliokuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakitafutwa tangu ajali ya kukanyagana mahujaji iliyotokea Makka nchini Saudi Arabia Septemba 24, mwaka huu wametambuliwa kuwa kati ya mahujaji waliokufa.

 

9 years ago

Habarileo

Mufti: Mahujaji wa Tanzania wako salama

LICHA ya ongezeko la vifo vya mahujaji katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia, imeelezwa kuwa, hakuna taarifa za vifo vya Waislamu wa Tanzania waliokwenda kutekeleza Ibada ya Hijja nchini humo.

 

9 years ago

Vijimambo

majina 18 ya Mahujaji kutoka Tanzania waliopotea huko Saudi Arabia


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Taarifa za kupatikana kwa majina 18 ya Mahujaji kutoka Tanzania waliopotea huko...

 

9 years ago

Vijimambo

Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi Arabia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa masikitiko makubwa...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi Arabia

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea taarifa za kuwepo Mahujaji wawili kutoka Tanzania ambao wamelazwa katika mojawapo ya hospitali nchini Saudi Arabia baada ya kujeruhiwa kutokana na tukio la mkanyagano wa Mahujaji lililotokea eneo la Mina, Makkah, tarehe 24 Septemba, 2015.


Mahujaji hao ambao wanaendelea kupata matibabu na hali zao zikiendelea vizuri ni Bi. Hidaya Mchomvu na Bi. Mahjabin Taslim Khan. Pia kwa mujibu wa taarifa za Ubalozi Hujaji mwingine anayejulikana...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHUJAJI WENGINE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SAUDI ARABIA





Mahujaji wengine wawili kutoka Tanzania ambao walikuwa hawaonekani tokea ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makkah nchini Saudi Arabia tarehe 24 Septemba 2015 wametambuliwa kuwa, ni miongoni mwa mahujaji waliofariki dunia.
 Kutambuliwa kwa mahujaji hao kunafanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali hiyo kufikia ishirini na saba (27). Majina kamili ya mahujaji hao ni Bw. Juma Yussuf Bakula na Bw. Ahmad Awadh Namongo kutoka Kikundi cha Ahlu Dawaa.
Hadi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani