Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahujaji zaidi wa Tanzania waliokufa watambulika

MA H U J A J I wengine w a n n e w a Tanzania waliokuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakitafutwa tangu ajali ya kukanyagana mahujaji iliyotokea Makka nchini Saudi Arabia Septemba 24, mwaka huu wametambuliwa kuwa kati ya mahujaji waliokufa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi Arabia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Coat of Arms
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600               
               20 KIVUKONI FRONT,                           P.O. BOX 9000,                  11466 DAR ES SALAAM,                                      Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa masikitiko makubwa...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi Arabia

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea taarifa za kuwepo Mahujaji wawili kutoka Tanzania ambao wamelazwa katika mojawapo ya hospitali nchini Saudi Arabia baada ya kujeruhiwa kutokana na tukio la mkanyagano wa Mahujaji lililotokea eneo la Mina, Makkah, tarehe 24 Septemba, 2015.


Mahujaji hao ambao wanaendelea kupata matibabu na hali zao zikiendelea vizuri ni Bi. Hidaya Mchomvu na Bi. Mahjabin Taslim Khan. Pia kwa mujibu wa taarifa za Ubalozi Hujaji mwingine anayejulikana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa zaidi kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi Arabia

3742683574_8989830a2b

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa zaidi kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi Arabia

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Ubalozi wake mjini Riyadh, Saudi Arabia imepokea taarifa kuwa hadi kufikia tarehe 27 Septemba, 2015 watu waliopoteza maisha kufuatia tukio la mkanyagano (stampede) wa Mahujaji waliokuwa wakielekea Jamarat kutupa vijiwe huko Mina nje kidogo ya mji wa Makkah, lililotokea siku ya Alhamisi tarehe 24 Septemba,...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA ZAIDI KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI AU KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA ZAIDI KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI AU KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
Mahujaji wengine wane (4) kutoka Tanzania ambao walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa hawaonekani tangu ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makkah nchini Saudi Arabia tarehe 24 Septemba 2015 wametambuliwa kuwa, ni miongoni mwa mahujaji waliofariki  dunia. Kutambuliwa kwa mahujaji hao...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WAFA KWA KUKANYAGANA WAKITEKELEZA IBADA YA HIJA

Profesa Ibrahim Lipumba, akisalimiana na Hujaji mwenzake kwenye msikiti mkuu wa Mecca, Saudi Arabia, wakati wa ibada ya Hija.KWA uchache Waislamu 717 wamefariki dunia kwa kukanyagana wakati wakitekeleza ibada ya Hija nje kidogo ya Maka (Mecca).Watislamu wengine 863 wamejeruhiwa kwenye kadhai hiyo iliyotokea wakati Waislamu wanaoshiriki ibada ya Hija, walipokuwa wakitekeleza tendo la kumrushia mawe shetani.Mkanyagano huo ambao umetokea kwenye daraja la bonde la Minna, kilomita chache kutoka...

 

10 years ago

GPL

TUJIONGEZE: WABUNGE WA TANZANIA WALIOKUFA KWA AJALI

WIKI iliyopita tuliwaletea marais waliouawa kwa risasi wakiwa madarakani. Wiki hii tunawaletea wabunge wa Tanzania waliokufa kwa ajali, iwe ndege, gari au usafiri wowote ule! Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime (Chadema), marehemu Chacha Zakayo Wangwe enzi za uhai wake. Hussein Ramadhan Shekilango; alikuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe (CCM) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (utawala). Alifariki dunia Mei 11, 1980 kwa ajali...

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 50 kutoka Tanzania wapotea

WAKATI Waislamu kote duniani wakiwa katika simanzi kuu kutokana na vifo vya mahujaji zaidi ya 700 katika mji mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia, imethibitika kuwa zaidi ya mahujaji 50 wa Tanzania, hawajulikani walipo.

 

9 years ago

Habarileo

Mufti: Mahujaji wa Tanzania wako salama

LICHA ya ongezeko la vifo vya mahujaji katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia, imeelezwa kuwa, hakuna taarifa za vifo vya Waislamu wa Tanzania waliokwenda kutekeleza Ibada ya Hijja nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani