Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mufti: Mahujaji wa Tanzania wako salama

LICHA ya ongezeko la vifo vya mahujaji katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia, imeelezwa kuwa, hakuna taarifa za vifo vya Waislamu wa Tanzania waliokwenda kutekeleza Ibada ya Hijja nchini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

news alert: Taarifa rasmi ya serikali juu ya ajali katika Msikiti wa Makkah - Saudi Arabia, Mahujaji wa Watanzania wote wako Salama.

 Krini ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah ambao uliangukiwa na kusababisha vifo vya mahujaji 107. 


Kufuatia mvua  ilioambatana na upepo mkali na kusababisha kuanguka kwa mashine ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah, msikiti huo umeanguka na kusababisha vifo vya mahujaji.  

Kwa mujibu wa Televisheni ya Saudi Arabia, Saudi TV hadi sasa watu 107 wamefariki dunia na wengine takriban 200 wamejeruhiwa. 

Kufuatia ajali hiyo, Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wote 32 wa Tanzania Ukraine wako salama - Mkumbwa

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mkumbwa AllyWANAFUNZI wote 32 wa Tanzania waliokuwa kwenye vyuo mbalimbali Mashariki mwa Ukraine, wako salama.

 

9 years ago

Habarileo

Mufti, mahujaji kuombea uchaguzi mkuu

MUFTI wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi Ally amesema ataongoza mahujaji wa Tanzania, kuombea uchaguzi mkuu nchini uwe wa amani, atakapofika kwenye mji mtakatifu wa Makka. Mufti alisema hayo kabla ya kwenda kuhiji Makka.

 

10 years ago

Mwananchi

Bakwata: Mahujaji wapo salama

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema mahujaji wote wa Tanzania waliokwenda Saudi Arabia kwa ajili ya Hijja wako salama.

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MUFTI MKUU JUU YA MAAFA YA MAHUJAJI, WATANZANIA WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA MSONGAMANO ULIOTOKEA MINA JANA

Baadhi ya Watanzania walioko Hijja na ambao wamenusurika na maafa ya msongamano wa watu huko Mina jana. Kulia nia Bw. Yahaya Sameja, kushoto ni mwigizaji mchekeshaji Bw. Amri Athumani al maarufu kama King Majuto. Wa katikati  jina lake halikuweza kupatikana.

Bismilah Rahman Raheem

Assalaam alaykum warahmatullahi wa barakaatuhu.


Taarifa hii inahusu tukio lilitokea jana Mina Saudi Arabia wakati mahujaji wakielekea kwenye Jamaraat , palitokea msongamano mkubwa ( stampede) na kupelekea mahujaji...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: TAARIFA YA MUFTI MKUU JUU YA MAAFA YA MAHUJAJI, WATANZANIA WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA MSONGAMANO ULIOTOKEA MINA JANA

Baadhi ya Watanzania walioko Hijja na ambao wamenusurika na maafa ya msongamano wa watu huko Mina jana. Kulia nia Bw. Yahaya Sameja, kushoto ni mwigizaji mchekeshaji Bw. Amri Athumani al maarufu kama King Majuto. Wa katikati  jina lake halikuweza kupatikana.
------------------------------------------------------------------------------------

Bismilah Rahman Raheem

Assalaam alaykum warahmatullahi wa barakaatuhu.


Taarifa hii inahusu tukio lilitokea jana Mina Saudi Arabia wakati mahujaji wakielekea...

 

11 years ago

GPL

KAMA WEWE UMEJIFUNGUA SALAMA, MTOTO WAKO NI MZIMA MSHUKURU MUNGU

Makala Makongoro Oging’
DUNIANI kuna mengi kiasi kwamba kama mama  umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata...

 

9 years ago

Habarileo

Mahujaji 50 kutoka Tanzania wapotea

WAKATI Waislamu kote duniani wakiwa katika simanzi kuu kutokana na vifo vya mahujaji zaidi ya 700 katika mji mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia, imethibitika kuwa zaidi ya mahujaji 50 wa Tanzania, hawajulikani walipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani