MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WAFA KWA KUKANYAGANA WAKITEKELEZA IBADA YA HIJA
Profesa Ibrahim Lipumba, akisalimiana na Hujaji mwenzake kwenye msikiti mkuu wa Mecca, Saudi Arabia, wakati wa ibada ya Hija.KWA uchache Waislamu 717 wamefariki dunia kwa kukanyagana wakati wakitekeleza ibada ya Hija nje kidogo ya Maka (Mecca).Watislamu wengine 863 wamejeruhiwa kwenye kadhai hiyo iliyotokea wakati Waislamu wanaoshiriki ibada ya Hija, walipokuwa wakitekeleza tendo la kumrushia mawe shetani.Mkanyagano huo ambao umetokea kwenye daraja la bonde la Minna, kilomita chache kutoka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Sep
Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka
MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.
10 years ago
Habarileo03 Oct
Mahujaji waanza Ibada ya Hija Makkah
JANA ilikuwa siku ya mwanzo kwa mahujaji waliopo nchini Saudi Arabia kuanza ibada yao ya Hija. Mitaa yote ya Jiji la Makkah na majiji ya Jeddah na Taif ilifurika mahujaji na magari yaliyokuwa yanaelekea Minah, mji uliopo kilometa saba kutoka Msikiti Mkuu wa Makkah kuingojea siku tukufu ya Arafat.
10 years ago
Habarileo04 Oct
Mahujaji milioni 2 wakamilisha hija
ZAIDI ya mahujaji milioni 1.3 kutoka kila pembe ya dunia jana walitumia siku nzima katika viwanja vya Arafat vilivyoko kilometa 15 kutoka jiji la Makkah kukamilisha kilele za ibada ya Hija ya mwaka huu.
9 years ago
Bongo524 Sep
Picha: Mahujaji 717 wapoteza maisha Mecca baada ya kukanyagana
9 years ago
GPLZAIDI YA WATU 220 WAFARIKI KWA KUKANYAGANA, MAKKA-SAUDI ARABIA
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Zaidi 40 wafa kwa milipuko Nigeria
5 years ago
MichuziBRAZIL; NCHI YA TANO KWA UKUBWA DUNIANI IKIWA NA AIRPORT ZAIDI YA 700
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BRAZIL ni nchi kubwa katika bara la Amerika ya Kusini, huku jina la nchi hiyo ikitokana na mti uliojulikana 'Brazilwood' kireno inaitwa Brasil ambayo ni lugha rasmi nchini humo, Brazil ni nchi pekee inayozungumza Kireno Amerika Kusini huku ikiwa na watu zaidi ya milioni 200 na imepakana na nchi zote za Amerika Kusini isipokuwa Chile na Ecuador.
Brazil ilikuwa koloni ka wareno kwa miaka 322 kabla ya kupata uhuru wake 1822, na imekua nchi ya mwisho kabisa...
10 years ago
StarTV12 Jan
Watu zaidi ya 50 wafa kwa kunywa pombe Msumbiji.
Serikali nchini Msumbiji imetangaza siku tatu za maombolezo nchi nzima baada ya zaidi ya Watu 50 kupoteza maisha baada ya kunywa kilevi kinachoelezwa kuwa na sumu.
Watu hao walikunywa kilevi hicho wakiwa msibani.
Watu wengine kadhaa waliokunywa kinywaji hicho siku ya jumamosi walikimbizwa hospitalini.
bad credit installment loans in missouriMaafisa wanasema wanaamini kuwa kilevi hicho cha kienyeji kilichotengenezwa kwa mtama na mahindi kilikuwa na sumu ya nyongo ya mamba wakati...
10 years ago
MichuziWATU ZAIDI YA 700 WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwawanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli hii leo
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha...