Mahujaji milioni 2 wakamilisha hija
ZAIDI ya mahujaji milioni 1.3 kutoka kila pembe ya dunia jana walitumia siku nzima katika viwanja vya Arafat vilivyoko kilometa 15 kutoka jiji la Makkah kukamilisha kilele za ibada ya Hija ya mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Oct
Mahujaji waanza Ibada ya Hija Makkah
JANA ilikuwa siku ya mwanzo kwa mahujaji waliopo nchini Saudi Arabia kuanza ibada yao ya Hija. Mitaa yote ya Jiji la Makkah na majiji ya Jeddah na Taif ilifurika mahujaji na magari yaliyokuwa yanaelekea Minah, mji uliopo kilometa saba kutoka Msikiti Mkuu wa Makkah kuingojea siku tukufu ya Arafat.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-skaezcAWygo/VgQfd-5QAGI/AAAAAAAAZq8/Hpt6yezMuqo/s72-c/IMG_20150924_185938.jpg)
MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WAFA KWA KUKANYAGANA WAKITEKELEZA IBADA YA HIJA
![](http://4.bp.blogspot.com/-skaezcAWygo/VgQfd-5QAGI/AAAAAAAAZq8/Hpt6yezMuqo/s640/IMG_20150924_185938.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Li2BZTvdsjY/VgPxVxrN8fI/AAAAAAAAZpE/BfzgkRlDF7k/s640/ccc.jpg)
9 years ago
Habarileo12 Sep
Plan wakamilisha mradi wa milioni 164/-
VIJIJI sita wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani vina uhakika wa kupata maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa maji safi na salama uliotekelezwa na Shirika la Plan International na kugharimu Sh milioni 164.
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mahujaji milioni 17 wakusanyika Karbala
10 years ago
StarTV13 Dec
Mahujaji milioni 17 wakusanyika Karbala.
Mamilioni ya mahujaji wa Kishia wamemiminika katika mji wa Karbala, Iraq, kwa ibada ya kila mwaka ya Arbaeen ingawa kuna tishio la mashambulio ya wapiganaji wa madhehebu ya Sunni wa Islamic State.
Wakuu wa Iraq wanasema mahujaji zaidi ya milioni 17 wamekusanyika Karbala kuhudhuria Arbaeen.
Picha zilizopigwa kutoka angani zinaonesha barabara zinazoelekea Karbala kama mito ya watu waliovaa nguo nyeusi, hadi upeo wa macho.
Na kuna wasiwasi kuwa mji wa Karbala hautaweza kuwapatia malazi...
10 years ago
Habarileo11 Jul
Namtumbo wakamilisha maabara
AGIZO la Rais Jakaya Kikwete la ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule zote za sekondari nchini, limetekelezwa vizuri wilayani Namtumbo ambapo wananchi kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya wamefanikisha kazi hiyo kwa asilimia 95.
10 years ago
Habarileo12 Mar
Washirika wa maendeleo wakamilisha uchangiaji
WASHIRIKA wa Maendeleo nchini wanaosaidia bajeti wamekubali kutoa asilimia tano ya fedha zilizokuwa zimebakia ili kukamilisha uchangiaji wa bajeti kwa mwaka 2014/15 baada ya kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na serikali dhidi ya sakata la wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow.
9 years ago
Habarileo06 Oct
‘Iko haja kuangalia utaratibu wa Hija’
WAKATI Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya mahujaji wanane na wengine waliojeruhiwa huko nchini Saudia Arabia, Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakari Zuberi ameiomba serikali kuangalia utaratibu wa kuzungumza na Saudia ili kuweka utaratibu mzuri wa ibada ya Hijja utakaosaidia kuepukana na madhara yaliyojitokeza mwaka huu kutokana na kufungwa kwa njia moja.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Kenya, Uganda, Rwanda wakamilisha vitambulisho vya uraia
WANANCHI wa mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumika kwa vitambulisho vya uraia kama cheti cha kuwaruhusu kuvuka mipaka na kuingia miongoni mwa...