Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahujaji milioni 17 wakusanyika Karbala.

Mamilioni ya mahujaji wa Kishia wamemiminika katika mji wa Karbala, Iraq, kwa ibada ya kila mwaka ya Arbaeen ingawa kuna tishio la mashambulio ya wapiganaji wa madhehebu ya Sunni wa Islamic State.

Wakuu wa Iraq wanasema mahujaji zaidi ya milioni 17 wamekusanyika Karbala kuhudhuria Arbaeen.

Picha zilizopigwa kutoka angani zinaonesha barabara zinazoelekea Karbala kama mito ya watu waliovaa nguo nyeusi, hadi upeo wa macho.

Na kuna wasiwasi kuwa mji wa Karbala hautaweza kuwapatia malazi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mahujaji milioni 17 wakusanyika Karbala

Washia wamemiminika kwa mamilioni kwa ibada ya kila mwaka ya Arubaeen mjini Karbala, Iraq

 

10 years ago

Habarileo

Mahujaji milioni 2 wakamilisha hija

ZAIDI ya mahujaji milioni 1.3 kutoka kila pembe ya dunia jana walitumia siku nzima katika viwanja vya Arafat vilivyoko kilometa 15 kutoka jiji la Makkah kukamilisha kilele za ibada ya Hija ya mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO

Na Abou Shatry Washington DC 
 Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu.Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi Asha Haris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

 

11 years ago

GPL

MASTAA, WANANCHI WAKUSANYIKA HOSPITALI YA KAIRUKI KUUPOKEA MWILI WA TYSON

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'. Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.…

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO

Na Abou Shatry Washington DC Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu. Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi AshaHaris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com) 
 Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahujaji wa TZ waliofariki wafikia 22

Idadi ya raia wa Tanzania waliofariki katika mkanyagano wakiwa katika ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwezi uliopita imeongezeka na kufikia 22

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watendeeni haki mahujaji’

TAASISI za kusafirisha Mahujaji nchini, zimetakiwa kuwa na umoja na ushirikiano ili kuwatendea haki Waislamu wanaokwenda katika ibada ya hijjah Makha, nchini Saudi Arabia. Akizungumza jana, Mwenyekiti wa Taasisi ya...

 

9 years ago

GPL

A-Z VIFO VYA MAHUJAJI

Na Waandishi Wetu
BONGO ni vilio! Kufuatia Watanzania wanne mahujaji miongoni mwa 717 waliopoteza maisha kwa kukanyagana mjini Mina, Maka, Saudi Arabia, hapa Bongo vilio vinaendelea hasa kufuatia habari kuwa, miili ya marehemu hao haitarudishwa nyumbani kwa mazishi.  Marehemu, Seif Salim Kitimla enzi za uhai wake. Tukio la mahujaji hao kupoteza maisha lilijiri Alhamisi iliyopita wakati wa zoezi la kumpiga mawe shetani ikiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahujaji 27 waaga dunia India

Mahujaji 27 wameuawa kufuatia mkurupuko uliotokea katika warsha moja ya kidini katika jimbo la Andhra Pradesh nchini India.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani