A-Z VIFO VYA MAHUJAJI
Na Waandishi Wetu BONGO ni vilio! Kufuatia Watanzania wanne mahujaji miongoni mwa 717 waliopoteza maisha kwa kukanyagana mjini Mina, Maka, Saudi Arabia, hapa Bongo vilio vinaendelea hasa kufuatia habari kuwa, miili ya marehemu hao haitarudishwa nyumbani kwa mazishi. Â Marehemu, Seif Salim Kitimla enzi za uhai wake. Tukio la mahujaji hao kupoteza maisha lilijiri Alhamisi iliyopita wakati wa zoezi la kumpiga mawe shetani ikiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Saudia yakana uvumi wa vifo vya mahujaji
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Mahujaji wasimulia mazingira ya vifo Makkah
Na Waandishi Wetu, Dar
IMEDAIWA kuwa usimamizi mbaya wa zoezi zima la hijja ndio uliosababisha vifo vya mahujaji waliokwenda kuhiji katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Hayo yalibainishwa jana jijini Dar es Salaam na baadhi ya mahujaji ambao wamenusurika kufa katika tukio la kukunyagana lililotokea hivi karibuni katika mji wa Mina.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, mmoja wa mahujaji hao waliorejea nchini, Abdulmalik Almas, alisema utaratibu wa kurusha...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Hatima ya mahujaji 35 bado haijajulikana, vifo vyafikia nane
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Ni kazi ngumu kuepuka vifo kwa mahujaji Saud Arabia
MWAKA 2014 tarehe kama hizi nilikuwapo Saudi Arabia kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya Hijja. Sikuwapo kwenye makundi yanayohudumiwa na mawakala wa mahujaji kutoka Tanzania, bali nilikwenda huko nikiwa mgeni wa serikali ya Mfalme wakati huo Marehemu Mfalme Abdullah bin Abdulaziz. Huyu wa sasa alikuwa msaidizi wake.
Niliungana na wanahabari kutoka vyombo vikubwa na vidogo kutoka barani Afrika, Asia na Ulaya. Mbali na kufanya ibada ya Hijja, serikali ya nchi hiyo ilituwezesha kutembelea maeneo...
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?
9 years ago
Habarileo08 Nov
Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...