Hatima ya mahujaji 35 bado haijajulikana, vifo vyafikia nane
Idadi ya Watanzania waliofariki kwa ajali ya kukanyagana wakati wa hija katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia imeongezeka na kufikia watu nane huku wengine 35 wakiripotiwa kutoonekana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Oct
Vifo lori la petroli vyafikia vitano
IDADI ya vifo vya watu vilivyotokana na ajali ya moto wa lori lililopinduka na kisha kulipuka baada ya watu kulivamia kwa lengo la kujipatia mafuta, vimeongezeka na kufikia vitano kutoka vitatu vya awali. Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
11 years ago
BBCSwahili21 May
Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118
5 years ago
BBCSwahili14 May
Shambulio Afghanistan: Vifo katika chumba cha kujifungua kina mama vyafikia 24
10 years ago
GPL
A-Z VIFO VYA MAHUJAJI
10 years ago
Mtanzania02 Oct
Mahujaji wasimulia mazingira ya vifo Makkah
Na Waandishi Wetu, Dar
IMEDAIWA kuwa usimamizi mbaya wa zoezi zima la hijja ndio uliosababisha vifo vya mahujaji waliokwenda kuhiji katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Hayo yalibainishwa jana jijini Dar es Salaam na baadhi ya mahujaji ambao wamenusurika kufa katika tukio la kukunyagana lililotokea hivi karibuni katika mji wa Mina.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, mmoja wa mahujaji hao waliorejea nchini, Abdulmalik Almas, alisema utaratibu wa kurusha...
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Saudia yakana uvumi wa vifo vya mahujaji
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Ni kazi ngumu kuepuka vifo kwa mahujaji Saud Arabia
MWAKA 2014 tarehe kama hizi nilikuwapo Saudi Arabia kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya Hijja. Sikuwapo kwenye makundi yanayohudumiwa na mawakala wa mahujaji kutoka Tanzania, bali nilikwenda huko nikiwa mgeni wa serikali ya Mfalme wakati huo Marehemu Mfalme Abdullah bin Abdulaziz. Huyu wa sasa alikuwa msaidizi wake.
Niliungana na wanahabari kutoka vyombo vikubwa na vidogo kutoka barani Afrika, Asia na Ulaya. Mbali na kufanya ibada ya Hijja, serikali ya nchi hiyo ilituwezesha kutembelea maeneo...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Hatima ya Zanzibar bado kujulikana
10 years ago
GPL
MTABIRI: VIFO VYA WABUNGE BADO VIPO!