Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vifo lori la petroli vyafikia vitano

IDADI ya vifo vya watu vilivyotokana na ajali ya moto wa lori lililopinduka na kisha kulipuka baada ya watu kulivamia kwa lengo la kujipatia mafuta, vimeongezeka na kufikia vitano kutoka vitatu vya awali. Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118

Maafisa nchini Nigeria wamesema kuwa wamepata maiti 118 kufuatia shambulio la bomu katika mji wa Jos.

 

9 years ago

Mwananchi

Hatima ya mahujaji 35 bado haijajulikana, vifo vyafikia nane

Idadi ya Watanzania waliofariki kwa ajali ya kukanyagana wakati wa hija katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia imeongezeka na kufikia watu nane huku wengine 35 wakiripotiwa kutoonekana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Shambulio Afghanistan: Vifo katika chumba cha kujifungua kina mama vyafikia 24

Idadi ya waliouawa katika shambulio lililotekelezwa na wanamgambo dhidi ya chumba cha kujifungua kina mama nchini Afghanistan imeongezeka na kufikia 24.

 

10 years ago

Habarileo

Wafa wakichota petroli kwenye lori lililopinduka

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.TAKRIBANI miaka 15 imepita tangu ilipotokea ajali katika kijiji cha Idweli wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, iliyosababisha vifo vya watu walioungua wakichota petroli kwenye gari lililopinduka.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LAMSHIKILIA DEREVA WA LORI MALI YA TEXAS HARDWARE KWA KUSABABISHA AJALI ILIYOPELEKEA VIFO VYA WATU 8 NA MAJERUHI 5 WILAYA YA MAGU




TAREHE 10.06.2020 MAJIRA YA 19:45HRS KATIKA BARABARA YA MWANZA – MUSOMA, ENEO LA IHAYABUYAGA, KATA YA BUKANDWE, TARAFA YA SANJO, WILAYA YA MAGU – MWANZA, DEREVA AITWAE BONIPHACE CLIPHORD @TUJU MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA MWANZA-NERA AKIENDESHA GARI NA T.322 DCB TRAILER T.1351 DCA AINA YA SCANIA LIKITOKEA WILAYA YA BUSEGA KWENDA MWANZA MALI YA KAMPUNI YA TEXAS HARDWARE, ILIGONGA TELA YA TRAKTA KWA NYUMA AMBAYO ILIKUWA HAINA TAA ZA NYUMA YENYE NAMBA ZA USAJILI T.952 DGW, BAADA YA KULIGONGA...

 

11 years ago

GPL

LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE

Lori la kusafirisha mafuta linateketea kwa moto. Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es...

 

9 years ago

Mwananchi

Vyama vitano taabani

Wakati CCM, Chadema na ACT- Wazalendo vikisema vitajitahidi kubana matumizi ya shughuli za Uchaguzi Mkuu yasivuke kiwango cha Sh17 bilioni kilichowekwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, vyama vingine vitano vinalia ukata.

 

9 years ago

Habarileo

Vyama vitano vyaahidi viwanda

VYAMA vitano vya siasa nchini vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu vimeelekeza nguvu katika uchumi wa viwanda na udhibiti wa matumizi ya Dola ya Marekani katika kukuza pato la Taifa ikiwa watapewa ridhaa ya kuongoza nchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Vikwazo vitano safari za nje

Agizo la Rais John Magufuli la kusitisha safari za nje linakabiliwa na ugumu katika utekelezaji wake kutokana na nchi kuwa na balozi 36 tu ambazo zitatakiwa kufanya kazi maeneo mbalimbali duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani