MTABIRI: VIFO VYA WABUNGE BADO VIPO!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/DSC_7788.jpg?width=650)
Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya. Gladness Malya na Gabriel Ng’osha DUH! Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya amesema vifo vya watu maarufu na wanasiasa bado vipo na vinasababishwa na mvutano mkali wa nyota za wagombea wawili wa urais, John Magufuli (CCM) na Edward Lowassa (Chadema) Akizungumza na Ijumaa Wikienda alisema alishawahi kutabiri kutokea kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crEtKkKYua8MEApBPqdvX1UlzuVR8LvDHwfMqX**AaboQRwISUaB*of6PsG*KmOKnXeiTQucborePiWBbOQOgwB/Maalim.jpg?width=650)
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Hatima ya mahujaji 35 bado haijajulikana, vifo vyafikia nane
9 years ago
Habarileo08 Nov
Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Mar
‘Vidhibiti kesi za mihadarati vipo’
SERIKALI imesema ipo sheria na utaratibu maalumu wa kusimamia vidhibiti vya kesi zinazohusu dawa za kulevya na mauaji.
Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni mjini Dodoma hapa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, wakati akijibu swali la nyongeza la Rukia Kassim Ahmed (Vita Maalumu-CUF).
Mbunge huyo alitaka kujua zinakopelekwa dawa za kulevya alizokamatwa nazo mshitakiwa mara kesi husika inapomalizika.
“Nataka kujua dawa wanazokamatwa nazo watuhumiwa hupelekwa wapi au huwa zinatumika...
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku